Tanzania kuna Askari wa kujitegemea?

Tanzania kuna Askari wa kujitegemea?

Tukisema askari tunamaanisha mlinzi. Kuna walinzi wa mipaka ya nchi, kuna walinzi wa ndani ambao jukumu lao ni kuwapa ulinzi wananchi na mali zao. Hawa ni polisi, magereza, uhamiaji. Hata hivyo kutokana na uchache wa walinzi hawa wa ndani na changamoto kubwa ya usalama, kuna walinzi wa kujitegemea toka kampuni binafsi. Security Systems company. hawa wanaweza kukupa ulinzi wa masa 24 kulingana na mahitaji yako popote ulipo. Na pia wengi wa watalaam wa ulinzi kwenye kampuni hizi wamepata mafunzo kwenye vyuo vya serikali kwakuwa wengi wao wametokea kwenye vyombo rasmi vya ulinzi vya dola. Nadhani nimejitahidi kukujibu kwa kiasi nilichoweza

Sent using Jamii Forums mobile app
bado
 
Back
Top Bottom