Tanzania Kuiuzia Umeme Kenya Bwawa la Nyerere Likikamilika. AfDB Yataka Mikataba ya Mauziano isainiwe haraka

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,772
Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imezitaka Tanzania na Kenya kusaini mikataba mitatu ya Mauziano ya umeme haraka Kufuatia kukamilika Kwa mradi wa kuunganisha gridi ya Nchi hizo mbili ambao umefadhiliwa na African Development Bank.

View: https://www.instagram.com/p/C27F55go1Cz/?igsh=emo4eGo4cDQ3d3li

My Take
Kenya wangekuwa wameunganisha grid Yao na Ethiopia,shida za upungufu wa umeme tunazopta saizi zisingekuwepo.

View: https://twitter.com/AnnaSarungi/status/1754377316749209705?t=Uimk5QmmxAVczvqTICrptQ&s=19
 
Hivi ni vichekesho vya mataahira wa CCM.
Kwa mwaka mzima, nchi nzima tupo gizani tukigawana umeme wa kuunga unga, hiyo mipango ya kuuza umeme nje tunaanzaje kuiwaza?
Bwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.

Uwezo wa Tzn kutumia umeme sio zaidi megawatt 2,000 so ziaid tutauza Kenya.

Kabla ya kutukana shirikisha ubongo.
 
Uwezo wa umeme walionao ni zaidi ya 3,600 sijui kama hilo unalijua.
 
Bwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.

Uwezo wa Tzn kutumia umeme sio zaidi megawatt 2,000 so ziaid tutauza Kenya.

Kabla ya kutukana shirikisha ubongo.
Samahani, hivi matumizi ya umeme kwa Tz hayataongezeka? Kumbuka hatujafika hata nusu ya kusambaza umeme nchi nzima.
 
Hiyo 2000MW ni matumizi ya sasa, Je, with fully countrywide electrification itaongezeka kufikia ngapi? Kwa move ya TIC kuongeza wawekezaji wa viwandani n.k bado tutakua tu na Ziada ya umeme? 15 years to come, bado tutakua tunazungumzia umeme wa ziada Au ndio plan ya kutengeneza tena uhaba wa umeme, ili tupate tena vi IPTL.?
 
Nchi nzima Kwa Sasa Iko electrified.

Harafu bwawa la Nyerere sio mradi wa mwisho,Kuna mingine kibao tuu inaendelea na itaanzia hivi punde.
 
Samahani, hivi matumizi ya umeme kwa Tz hayataongezeka? Kumbuka hatujafika hata nusu ya kusambaza umeme nchi nzima.
Aliyekwambia hatujafika nusu ya Kusambazia umeme ni nani?

Mahitaji yanazidi kuongezeka lakini sio Kwa Kasi ya kuweza kuzitumia hizo megawatt zote ndani ya miaka 4 ijayo.

Tuko uhuru Hadi Leo tuko kwenye megawatt 2,000 , unadhani hiyo ziada ya 1600 tunaweza ifikia Kwa miaka 4 ijayo?
 
Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imezitaka Tanzania na Kenya kusaini mikataba mitatu ya Mauziano ya umeme haraka Kufuatia kukamilika Kwa mradi wa kuunganisha gridi ya Nchi hizo mbili ambao umefadhiliwa na African Development Bank.

View: https://www.instagram.com/p/C27F55go1Cz/?igsh=emo4eGo4cDQ3d3li

My Take
Kenya wangekuwa wameunganisha grid Yao na Ethiopia,shida za upungufu wa umeme tunazopta saizi zisingekuwepo.

Ni kuwauzia umeme au kupeleka nguzo za umeme kuelekea Kenya?
 
Aliyekwambia hatujafika nusu ya Kusambazia umeme ni nani?

Mahitaji yanazidi kuongezeka lakini sio Kwa Kasi ya kuweza kuzitumia hizo megawatt zote ndani ya miaka 4 ijayo.

Tuko uhuru Hadi Leo tuko kwenye megawatt 2,000 , unadhani hiyo ziada ya 1600 tunaweza ifikia Kwa miaka 4 ijayo?
Unajua hizo megawatt 2000 hapo Rufiji tutazipata kwa awamu ngapi?
 
Back
Top Bottom