Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
Ni suala la sisi kuamsha akili tu na kuacha woga.
SERIKALI ya Comoro imeiomba Serikali ya Tanzania iisaidie kutatua changamoto ya uhaba wa ndege zinazotua nchini humo hali iliyosababishwa na kusitishwa kwa huduma za safari za shirika la ndege la Yemen.
Akizungumza na waandishi wa habari jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Waziri wa Uchukuzi wa Comoro, Bahia Masoundi, alisema Shirika la Ndege la Yemen lilisitisha huduma zake kufuatia machafuko yanayoendelea nchini Yemen.
Mchafuko ya nchini Yemen yalipelekea shirika lao la ndege kusitisha huduma zake na kutokana na kwamba ndilo shirika tulilokuwa tukilitegemea kwa kiasi kikubwa ndio maana uhaba umejitokeza baada ya kufunga huduma zao, alisema Massoundi.
Alisema kwa sasa kuna mashirika manne tu yanayofanya kazi nchini humo na ndege zinazotua ni chache na kwamba serikali ya nchi hiyo haimiliki shirika hata moja hivyo kulazimika kuomba msaada nchini Tanzania.
Naye Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA), Charles Chacha alisema waziri huyo amefanya mazungumzo na waziri wa Uchukuzi nchini, Samweli Sitta ambaye ametoa maagizo kwa TCAA ili ifanye utaratibu wa kuisaidia nchi hiyo.
Tayari tumepokea maagizo ya Waziri mwenye dhamana na sisi kama mamlaka inayosimamia safari za anga tunaanza mara moja kuangalia namna ya kuisaidia Comoro kwasababu ni nchi ambayo ina makubaliano ya kusaidiana na Tanzania, alisema Chacha.
Alisema kwa sasa ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) hufanya safari zake mara nne kwa wiki nchini Comoro lakini bado kuna tatizo la mrundikano wa abiria wanaotaka kusafiri kwenda au kuja nchini kwa shughuli za biashara, utalii au kufuata huduma.
Aliongeza kutokana na uwezo mdogo wa ATCL atakutana na uongozi wa mashirika yenye uwezo yanayofanya kazi nchini yaweze kufanya safari nchini Comoro pamoja na kutoa kibali maalumu kwa shirika la ndege la Ethiopia ili ndege zake ziende nchini humo baada ya kutua Tanzania.
Chanzo: Mpekuzi blog
- Je kuna miundominu ya kuhakikisha "akili zikiamka" tutatengeneza pesa?
- Je Index ya easiness ya kufanya biashara Tanzania ikoje kulinganisha na nchi jirani?
- Je tatizo ni kuamsha akili au tatizo ni "Management-Uongozi-serikali" mbovu?
- Je ,kwa mienendo yetu toka uhuru ...tunaweza kweli kuwa na Confidence?
Umehoji. Una kiu ya kupata majibu. Jambo moja muhimu ni kwamba kulijua tatizo ni sehemu ya kulitatua. Kuamsha akili ni pamoja na kuwa na utashi wa viongozi wa aina gani tunawahitaji mwaka huu wa 2015 ili watuongoze kuondokana na unyonge huu wa kifikra na kutojiamini. Naamini kuna Watanzania makini wanaoweza kuliongoza taifa letu na kuwajengea uwezo wa jeuri ya kujiamini na uthubutu. Jiandikishe kwenye BVR sasa.
Kiukweli ni kwamba Watanzania tuna nafasi kubwa mno ya kuwa super power kiuchumi na kijeshi katika ukanda huu. Ukiaacha Afrika Kusini, sisi ndo tulipaswa kuwa wa pili. Lakini kwa sababu ya udhaifu wa viongozi wetu, Tanzania imebaki kuwa nchi isiyojiamini na ndio maana wachangiaji hapa wanaonyesha kutokuwa na hakika kama kweli Tanzania inaweza kuisaidia Comoro usafiri wa ndege. Juzi tu tulikuwa Comoro pamoja na wafanyabiashara 200 kutoka Tanzania. Kuna fursa nyingi za kiuchumi ndani ya Comoro. Ni suala la sisi kuamsha akili tu na kuacha woga.
SERIKALI ya Comoro imeiomba Serikali ya Tanzania iisaidie kutatua changamoto ya uhaba wa ndege zinazotua nchini humo hali iliyosababishwa na kusitishwa kwa huduma za safari za shirika la ndege la Yemen.
Akizungumza na waandishi wa habari jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Waziri wa Uchukuzi wa Comoro, Bahia Masoundi, alisema Shirika la Ndege la Yemen lilisitisha huduma zake kufuatia machafuko yanayoendelea nchini Yemen.
Mchafuko ya nchini Yemen yalipelekea shirika lao la ndege kusitisha huduma zake na kutokana na kwamba ndilo shirika tulilokuwa tukilitegemea kwa kiasi kikubwa ndio maana uhaba umejitokeza baada ya kufunga huduma zao, alisema Massoundi.
Alisema kwa sasa kuna mashirika manne tu yanayofanya kazi nchini humo na ndege zinazotua ni chache na kwamba serikali ya nchi hiyo haimiliki shirika hata moja hivyo kulazimika kuomba msaada nchini Tanzania.
Naye Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA), Charles Chacha alisema waziri huyo amefanya mazungumzo na waziri wa Uchukuzi nchini, Samweli Sitta ambaye ametoa maagizo kwa TCAA ili ifanye utaratibu wa kuisaidia nchi hiyo.
Tayari tumepokea maagizo ya Waziri mwenye dhamana na sisi kama mamlaka inayosimamia safari za anga tunaanza mara moja kuangalia namna ya kuisaidia Comoro kwasababu ni nchi ambayo ina makubaliano ya kusaidiana na Tanzania, alisema Chacha.
Alisema kwa sasa ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) hufanya safari zake mara nne kwa wiki nchini Comoro lakini bado kuna tatizo la mrundikano wa abiria wanaotaka kusafiri kwenda au kuja nchini kwa shughuli za biashara, utalii au kufuata huduma.
Aliongeza kutokana na uwezo mdogo wa ATCL atakutana na uongozi wa mashirika yenye uwezo yanayofanya kazi nchini yaweze kufanya safari nchini Comoro pamoja na kutoa kibali maalumu kwa shirika la ndege la Ethiopia ili ndege zake ziende nchini humo baada ya kutua Tanzania.
Chanzo: Mpekuzi blog
Fursa maana yake sio kwenda Comoro na kuwahakikishia watu wa huko kwamba tunalima pamba hivyo tunaweza kuwauzia nguo lakini wakati wa delivery unanunua mzigo kutoka China na kuupeleka huko! Kuzifanyia kazi fursa kunahitaji juhudi na maarifa na sio ubabaishaji, unadhani TBS inayoshindwa kudhibiti bidhaa zinaingia nchini itaweza kuhakikisha ubora wa bidhaa ziendazo nje!?Umehoji. Una kiu ya kupata majibu. Jambo moja muhimu ni kwamba kulijua tatizo ni sehemu ya kulitatua. Kuamsha akili ni pamoja na kuwa na utashi wa viongozi wa aina gani tunawahitaji mwaka huu wa 2015 ili watuongoze kuondokana na unyonge huu wa kifikra na kutojiamini. Naamini kuna Watanzania makini wanaoweza kuliongoza taifa letu na kuwajengea uwezo wa jeuri ya kujiamini na uthubutu. Jiandikishe kwenye BVR sasa.
Tanzania is facing a serious demand for air transport.
Boastful of rich tourist attractions in Africa, Tanzania ranks fourth among countries south of Sahara with good opportunities in domestic air transport, but lacking reliable airlines to fly in and out its airspace.
Airline and aviation reports put Tanzania in a good position to utilize its airspace, because of its open skies policy that allows competition between airline companies within and outside its borders.
Aviation experts are looking forward to see smooth growth in airline business, but worried over the current situation which makes Tanzania go without a vibrant airline company or a national flag carrier after its national airline failed to perform profitably.
source:eTurboNews (eTN) | Original and unique global international news with a focus on travel and tourism
Nilidhani ni Watanzania pekee tusiofanya utafiti kumbe kuna na wajinga wenzetu wengine!
Ina maana hawa Comoro hawawezi hata kugoogle na kujua kuwa Tanzania hatuna ndege!!!
haahahahahahahahahahahahahahahahahahahah