Senbe Noma
Member
- Sep 11, 2013
- 38
- 5
Uruguay hivi karibuni ilikua ni nchi ya kwanza kuhalalisha bangi baada ya kuona kwamba wameshindwa kabisa katika mapambano hayo.
Tanzania pia inaonekana kuwa imeshindwa na may be haina political will ya kupambana na MADAWA YA KULEVYA.
Rais JK alisema ana majina ya wauza unga tarehe 18.9.2006 lakini hakuna kilichofanyika, Kamanda Nzoa amesema wao wamekamata watu kibao na wamewataja wahusika lakini mahakama zinawaangusha.
Balozi Marmo amesema wafungwa wa china wamewataja vigogo ambao ndio waliowatuma, Peter Kivuyo alisema wamefanya uchunguzi na kuwagundua wamiliki au vigogo 60 akawaonyesha waandishi wa habari majumba na magari 60 ya vigogo hao na kua wangechukua hatua haraka lakini toka hiyo novemba 2011 hadi leo hakuna kilichofanyika.
W. Lukuvi nae licha ya kubanwa na wabunge awataje vigogo akadai akitaja hakuna atakae salia.
MIMI NAPENDEKEZA KWAKUA HATUKO TAYARI BORA TUHALALISHE KAMA URUGUAY.
WAHESHIMIWA WANAJAMII FORUM NAOMBA KUWAKILISHA.