Tanzania kila mtu anamlaumu mwenzake

Tanzania kila mtu anamlaumu mwenzake

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,176
Reaction score
6,208
Nani atamfunga paka kengele, Tanzania kila mtu anamlaumu mwenzake
  1. Wanasiasa wanalaumu mabeberu
  2. Wananchi wanalaumu wanasiasa
  3. Wanaharakati wanawalaumu wanalaumu
  4. Polisi wanasema ni maelekezo kutoka juu
  5. Wananchi wanalaumu wanaharakati kwamba hawafanyii harakati zao Tanzania, wakija Tanzania wakikamatwa wanalaumiwa ni wajinga
  6. Vyombo vya ulinzi wanasema wanafuata maelekezo sio maamuzi yao
  7. Wazee wanalaumu vijana wanasahau hao ni watoto wao
  8. Watumishi wa Mungu wanamlaumu Mungu kwa mambo yanayoendelea
  9. Manabii wanabadilika kama vinyonga kila siku hawajui wasimamie kipi
  10. Waislamu wanalaumu kila Rais akiwa muislamu mashambulizi yanakuwa mengi
Ni Taifa ambalo hatujui tushike wapi na tusimame wapi ni mwendo wa lawama kutoka pande zote
 
Back
Top Bottom