WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Arrow zipo nyingi
Unamaanisha arrow gani?
Arrow ya OLIVER QUEEN Mkuu
Episode ya ngapi Nchi yangu imetajwa? Ilo series ni tamu sana mkuu
Season three sikumbuki episode Mkuu .nipo nimekaa naangalia Agents s1ep3 nkasikia wanataja Tz ndio ntaona kumbe nchi yetu inapendwa.
Umesahau ziwa Tanganyika limetajwa kwenye TV show ya PENNY DREADFUL
Season three sikumbuki episode Mkuu .nipo nimekaa naangalia Agents s1ep3 nkasikia wanataja Tz ndio ntaona kumbe nchi yetu inapendwa.
kuna movie moja ya kihindi siikumbuki jina, ajay anaongea kiswahil kabisa
Nchi yetu kumbe inatambulika na kukubalika duniani. Nimefarijika kuona jina LA Nchi yetu linatajwa katika T.V SERIES kali kama ARROW na AGENTS OF THE S.H.I.E L.D. Bila shaka siku moja tutapata actors na actresses washiriki kwenye hizi series.
Kuna moja mpya inaitwa BRINK season 1 episode 4 au 5, inatajwa, mbona nyingi tu, kuna 1 inaitwa OZ ambayo prison break walicopy na kupaste hiyo jamaa anaulizwa ukimaliza kifungo chako utaenda wapi jamaa kapiga in morogoro, somewhere in africa, siku hizi ni nyingi tz wanaitaja na hasa hizi mpya mpya ndo sana, kuna mpya nyingine inaitwa zoo epised kama 4 wanataja serengeti in tanzania,
Sasa mtaelewa kwanini Kikwete alienda Hollywood.
Aisee hiyo ZOO inahusu nini Mkuu?