JFKAMANDA
Senior Member
- Sep 1, 2013
- 122
- 45
Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote mlipo.
=>Mimi si mwanasiasa wala muumini wa chama chochote Tanzania.
Leo nataka niwaambieni kuwa Tanzania KASKAZINI tunaonewa sana ni kama Tanzania kusini wametusahau vile.
=>Mikoa ya Arusha,Moshi Manyara na Tanga nikama si Tanzania.
=> Ukichunguza uchumi wa Tanzania 85% unazalishwa ktk mikoa hii minne yaani Tanzania KASKAZINI.
kupitia kilimo cha mkongo Tanga
Utalii Arusha na Killimanjaro.
Pia kilimo kikubwa cha mazao ya biashara na chakula Arusha.
=> Manyara utalii wa kutosha na hifathi za Taifa.
=>Lakini mpaka leo Mikoa haya minne ipo nyuma kuliko mikoa mingine yote Tanzania.
Kwanini Dar es salaam iendelee kuliko Arusha Tanga Killimanjaro na Tanga. Dar wanalima nini? Wanahifathi gani? Kuna kiwanda gani?
=>Dar kote umeme mpaka kwenye SLUMS lakini Arusha Hospitali ya Wilaya haina Umeme wa uhakika.
=>Arusha soko kubwa mji mkubwa kama Donyosambu hawajui nini kinaitwa umeme.
Usiulizie vijijini kuanzia Vijiji za Ngaramtoni mpaka Namanga Kilomita 200 hakuna kijiji hata kimoja chenye umeme.
=>Manyara hata mjini hakuna maji,umeme wakulenga na manati.
=>Barabara usiulize maana hapa kwetu ukinunua gari utatafuta parking Ngaramtoni ilipobarabara ya East Afrika utembee kwa mguu km 30 kuingia kijijini.
Maoni Yangu
Tunachotaka kama 2015 uchaguzi mkuu Rais atokee KASKAZINI ama la sivyo Tanzania KASKAZINI tutadai uhuru wetu.
Kama nimekukera potezea.