kweli kabisa hakuna lamuhimu lakujivunia kwake au kumkumbuka kwa jambo lamaana!! Nakumbuka kipindi cha uhai wa Mlm.Nyerere (94/95) walipendekeza mtu wakugombea urais,baadhi wakamchagua kikwete ila Nyerere akakataa akasema huyu bado mdogo (mtoto)! Wengi walijua utoto wake upo kwenye umri kumbe LA (sivyo),Mwalimu Nyerere aliona mbali! Utoto wake upo kwenye mambo ya starehe zaidi, hana mawazo yakimaendeleo,hayupo serious na maisha ya majority!! Na wengi tulijua nimtu wawatu atafanya mambo for watu ila ikawa kinyume chake!! Tanzanian TUAMKE TUSIJEFANYA KOSA KWENYE CHAGUZI ZIJAZO,Ona inavyotu-cost,vijana wasasa wanasema inakula kwetu..