Tanzania je ingefanya wanaofanya Brazil?

Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946
1,815
Brazil wananchi wanaandamana kujengwa kwa viwanja vya mpira sababu ya uchumi wao utauwa wananchi wao Mapato watafaidika wengine Kabisa, na Wachezaji mpira wanaandamana kalenda zibadilishwe chama cha mpira nao kidogo wanaendana na wananchi migomo Yao na wanadai viingilio vimekuwa vikubwa mpaka mashabiki hawafiki tena uwanjani. Tanzania je tungepewa kujenga viwanja kwa mashindano ya kombe la Africa tu, uchumi wa kuvijenga ukawa unauwa uchumi wa nchi na viwanja bei juu sana Kama tunavyoona ikija Brazil. Mtu ananyima familia kula kwenda kumuona Kaka! Tanzania kweli tungejali wananchi wenzetu wanaoumia? Au tungejijali nafsi zetu?
 
Mmh,nimejitahidi kusoma 'sred' yako ndg pazi hata sijaambua.Unataka kuleta nini kijadiliwe!Naliona neno maandamano tu!au kuna kitu unataka kuwaeleza wana CDM sababu hili neno lina mahusiano makubwa na icho chama! Lakini kwa wana michezo mnnh.Jitahidi kupambanua unachotaka kukieleza,rudia rudia kuisoma post yako kabla ya kuipost.
 
Back
Top Bottom