Tanzania ingekua na wanawake 10 kama huyu tungesonga mbele kimaendeleo.

Uyu jamaa ana uongo wa kitoto Mara nilikuwa nampigia simu.
Mara simu zake zote ziliibiwa
Mara kanitupia picha
 
Huyo ana pretend aolewe haraka, anaweza akawa sio mpenda hell lkn akawa na kasoro kubwa kuliko hiyo mi binafsi ningekupiga mzinga wa milioni maana ni jukumu lako hilo
 
Unasema simu zake zote zilipotea,na umesema amekutumia picha ya gari zilivyopondeka,je hizo picha za gari zilivyopondeka kazitoa wapi na simu zilipotea. Jipange
tungekua na inteleginsia kama yako nchi hii ingekua mbali ki usalama kuliko hata USA
 
Yaani nyie kila tatizo mnalihamishia kwa wanawake tu!! Mkiwa vibakia tatizo wanawake, mkishindwa kunaniliu tatizo wanawake, mkishindwa majukumu yenu tatizo ni wanawake, haya sasa na mkishindwa kuendelea tatizo ni wanawake. Huko USA naona kuna wanaume tu.
 
Unasema simu zake zote zilipotea,na umesema amekutumia picha ya gari zilivyopondeka,je hizo picha za gari zilivyopondeka kazitoa wapi na simu zilipotea. Jipange
Hahahaaaaa!! Labda nesi nae alikuwa kwenye ajali.
 
Tangu siku ya tukio ulimtafuta kwa simu zilizopotea, na ulikuwa unampata ila anakwambia usubiri atakupigia!
 
Ndiyo mnaomba pesa mno, utadhani mizimu inadai kafara..!

Kuna kigori mpya nimempata shida anapenda starehe huyo kila kitu kubebwa km maiti.

Yaani wewe kila kitu huwa unalalamika, usipobakwa basi umempata alie kama maiti!!
 
Back
Top Bottom