Tanzania inaongoza kwa ajali sekta ya ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inaongoza kwa ajali sekta ya ujenzi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by fangfangjt, Mar 15, 2011.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  tanzania ni moja ya nchi Africa zinazo ongoza kwa ajali kwenye sekta ya ujenzi hasa majengo. Hii inatokana wafanyakazi kutokua na mafunzo hafifu pamoja na kutokua na vifaa vya taaluma hiyo. Ajali nyingi zina husisha wajenzi kudondoka kutoka kwenye majengo.

  Source RadioONE NIPASHE.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ......kwenye red...... sikubaliani na wewe
   
 3. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,867
  Likes Received: 2,808
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo kwenye red, hii ni nadharia ya wapi hii?? Mbona sikuelewielewi vile!! Hapo kwenye red
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hata mimi nimebaki nimeduwaa, hii twnde kushoto na kulia kwa wakati mmoja.
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Data Mkuu,data. Nchi nyingine hali ikoje
  La sivyo this is heresay.
   
Loading...