nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,120
- 1,828
Wakenya wamechangia sana katika kuudhoofisha Uchumi wetu kwa faida zao na chuki tu.
Sawa tust. Kayumba waheed.
Sawa, lakini si ndugu wa Watanzania woteMimi wakenya ni ndugu zangu wa damu
Watu wanjitoa ufahamu tu kwa sababu za kisiasa. Kwa vile wamempokea Lema, basi wanajua ni wenzetu. Hapana, hao jamaa ni nyoka.WAKENYA WAMECHANGIA SANA KATIKA KUUDHOFISHA UCHUMI WETU KWA FAIDA ZAO NA CHUKI TU
Watu wanjitoa ufahamu tu kwa sababu za kisiasa. Kwa vile wamempokea Lema, basi wanajua ni wenzetu. Hapana, hao jamaa ni nyoka.
Wapo wengi mkuu, kuanzia multi choice, madaktari, nurses, experts wa finance na accounts, admin,"Nchi majirani watambue, ushindani wa kibiashara sio vita" Uhuru Kenyatta.
Ilichofanya Tanzania ni sehemu ya ushindani.
BTW, Kuna CEO's wangapi wa Tanzania kwenye makampuni ya Kenya?
Ile kauli ya Jaguar Mbunge wa kitaifa ilitoka wapi, yale ni matokeo ya Ubaguzi wa muda mrefu uliokuwa unafanywa kimya kimya na Wakenya.Na watanzania kibao wako Kenya wanafanya kazi. Ukiwa una apply working permit Kenya hadi desk la immigration wanakupa huku wanakusimanga "jirani permit tayari chukua iko tayari ila nyie mnafukuza ndugu zetu hamwapatii permit sisi hatuna roho mbaya"
Wakenya wanakumbatia waafrika wenzao katika kazi tena zaidi EA kuliko nchi zingine. Na permit za kazi kama wewe ni East Africa kule kwao ni "Gratis" una sifa zote fasta tu
Wiki kamasita nyuma niliitwa Mt. Kilimanjaro kufanya kazi fulani hivi, kilikuwa kipindi cha kuzima moto. Actual watalii walikuwa wanapanda kama kawaida na hakukuwa na hatari yoyote kwa watalii. Ila media za kenya zilivumisha dunia mzima kuwa K'njaro inaungua na imefungwa coz sio salama. Wapandisha mizigo na makampuni yetu walikosa wateja kwa kiasi kikubwa.WAMEMPOKEA LEMA ILI KUIAMINISHA DUNIA NA WATALII KUWA TANZANIA SIYO SALAMA
Ukiulizwa umemzidi nini utajibuje?st. Kayumba waheed.
Sijawahi kuona CCM ya wajinga Kama hii hata kwenye Mambo yenye uhalisia unakita jitu Kama hili linaleta upopoma 🤣, takatakaa kabisa nyie.Mchukue umuajiri wewe nyumbani kwako
Naona unafikiri kinyume nyumeUnamaanisha hakuna Wakenya walioruhusiwa kufanya kazi TZ? Au hakuna hao unaoita 'wazungu' walionyimwa vibali vya kufanya kazi TZ? Inaelekea huna taarifa za kutosha kutetea hoja yako.
Kupunguza hujuma za kibiashara kuna baadhi ya nafasi za kazi ni salama zaidi kupewa raia wa mbali huko maana ni rahisi kumdhibiti kuliko Mkenya. Fuatilia historia ya kufa kiwanda cha matairi (General Tire) Arusha, na changamoto za baadhi makampuni ya vinywaji hasa bia nchini.
Umeeleweka. Wakenya ni wabaguzi kama kaburuHivi wakenya wamewahi kukutetea wewe kwenye Mambo yao zaidi kukuona punguani? Tunafanya kile wao wanafanyaga