Tanzania inachefua sana

Tanzania inachefua sana

Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.

Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.

Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.

Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.

Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.

CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.

Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.

Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.

Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.

Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi

Karibu Senegal !
Nimekatiza kusoma bandiko lako pale tu ulipoanza kuonyesha kuwa hujui jambo muhimu kuhusu Senegal [emoji1211].

Huyo Rais aliyeondoka madarakani alikuwa ni kiongozi wa upinzani aliyeshinda uchaguzi mkuu wa Senegal mwaka 2019.

Na aliingia madarakani kwa mbwembwe na ahadi za kutimiza utawala wa kidemokrasia tofauti na mtangulizi wake yule Mzee Wade.

Miaka mitano baadae naye amekuwa mtawala .....

Sasa anaingia kijana mwingine kutoka coalition ya Sonko aliyezuiwa kwa hila na serikali ya Mark Sally kugombea.
Na hiyo ndiyo hasa iliyowabeba hawa vijana maana wananchi walishuhudia mateso waliyoyapitia!

Kwa hiyo wamepata "POLITICAL SYMPATHY"

Nyinyi wapinzani wa Tanzania kazi yenu ni "kugombania" Tonge na sio kuwapigania wananchi. Ndio sababu hata wapinzani kwa wapinzani hampendani wala kuaminiana.

Halafu vijana wa kitanzania wengi wapenda short cuts za maisha.wale wa west Africa ni wapambanaji na wakienda shule wanaenda kweli.
Niambie ni mpinzani gani msomi wa Tanzania ambae amewahi kwenda kuongeza elimu ili kujisimika vizuri kwenye mazingira ya kufanya kazi na siasa kwa pamoja?
 
Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli.

Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au mazingaombwe ya Demokrasia.

Ni Tanzania tu ambako Rais wa nchi ni lazima awe Dokta, yaani mtu anapokuwa Rais wa Tanzania anapewa cheo cha ziada cha Udokta, wakati Rais wa nchi ni mkubwa kwa hadhi Kuliko vyeo vyote, maana yake Baada ya Mungu kwa hadhi anayefuata ni Rais wa nchi.

Lakini kwa Tanzania ni lazima waanze na Dokta, yaani kumwita tu mh Rais wanaona haitoshi.

Senegal Tayari wamepata tena Rais kutoka upinzani huku sisi tukiendelea kuikumbatia CCM, Chama kilichojichokea kabisa na kimekosa Dira ya kuongoza nchi.

CCM ni chama cha watu aina mbili Tu, kundi la kwanza ni watu wanaofaidika na Chama,na kundi la pili ambalo ndo kubwa zaidi ni la mambumbumbu wa kutupwa,ambao akila na kushiba,hata ukimwambia kuwa hii hewa inaletwa na CCM yeye anakubali tu.

Ni Tanzania tu, ambako Rais anapewa kila aina ya sifa na wapambe ili kujikomba.

Ni bora wangefuta kabisa vyama vya upinzani ili wabakie na li CCM Lao Kuliko kuwafanya watu wote hawana akili kabisa.

Yaani inashangaza sana, Tanzania yenye kila kitu kizuri, kuanzia ardhi, Raslimali zote lakini watu wake ni maskini wa kutupwa halafu Chama cha CCM kilichofeli kuongoza nchi eti bado kinawaambia wananchi wakipe ridhaa Tena.

Aisee Tanzania unachefua sana wewe nchi
Hamia south sudan
 
The greatest countries in the world have Democracy , China has Democracy within a single ruling Party, But Tanzania doesn't have within CCM, that's why the late Lowassa was chosen in his CCM Party but Kikwete wrote off his name for his personal interest.
And moreover,put in mind that you can't bring developments in your ownself without having good governance.
Kama ni hivi basi na Tanzania tuna demokrasia yetu.
 
Tanzania kama nchi kiasili siyo nchi mbaya hata kidogo, tatizo lililopo hapa ni uwepo wa Utawala mbaya na usiofaa. Hilo ndio tatizo lililipo, tatizo hili pia lipo karibia ktk nchi zote za ki-Afrika au nchi zote zenye watu weusi wengi ambao ni watawala ktk nchi hizo.

"Tuliwakataa, tuliwatenga, na kuwaengua kabisa WATU WEUSI kwenye mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu HAWANA AKILI NZURI. Endapo kama tungewajumuisha, basi WANGETUHARIBIA mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."

Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za Ubaguzi wa rangi.

[Emphasis is added]
Acha wivu
Watu wanalamba asali kwanza wewe hupendi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
The greatest countries in the world have Democracy , China has Democracy within a single ruling Party, But Tanzania doesn't have within CCM, that's why the late Lowassa was chosen in his CCM Party but Kikwete wrote off his name for his personal interest.
And moreover,put in mind that you can't bring developments in your ownself without having good governance.
Hupendi kulamba asali?
Hakika ukipewa buyu la asali hizi kelele utaziacha
Ngoja tulambe asali sisi wazee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kuwa wa-Tanzania tumezembea kwa kiasi kikubwa sana ktk kuiondoa CCM mapema kutoka madarakani, basi kwa sasa inahitajika KAFARA KUBWA SANA ili kufanikisha Jambo hilo. Tusidanganyane hapa, inahitajika Kafara kubwa nchi hii ili kuondokana na janga hili kubwa lililopo.
Tulia wewe
Kaa kimya
Hupendi kulamba asali

Back
Top Bottom