TANZANIA INA TAFAKULI KUDAI FIDIA DHIDI YA UJERUMANI,

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
5,937
6,163
Kuhusu fidia vita ya maji maji 1905 hadi 1907,kkutokana na uharifu zidi ya jeshi la kijerumani kwa kuwauwa waliopinga matakwa ya Ujerumani dhidi ya Watanzania walioisji maeneo ya Songea..
Chanzo cha mjadala IDHAA YA KISWAHILI UJERUMANI..

Maswali mengi yaibuka kwa nini Tanzania imeamka sasa kudai fidia hiyo?
 
Back
Top Bottom