Tanzania imewekewa mkakati maalum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania imewekewa mkakati maalum

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichakoro, Sep 5, 2011.

 1. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,542
  Likes Received: 1,290
  Trophy Points: 280
  Kuna nyeti bado hazijawa rasmi kwamba upo mkakati wa kijasusi wa kuingiza taifa hili kwenye maandamano makubwa very soon.

  Mkakati huo unaundwa na majususi kutoka nchi mbalimbali za ulaya na amerika na several attempts zimefanyika kuwafanya wananchi walipuke
  lakini imeshindikana. Sasa wanataka kutumia wanajeshi wetu. na attempts zao zinakua hivi:

  1. wanaleta skendo (which is very true) ila wanangalia zile zenye impact kwa kundi kubwa la watu mathalani wanajeshi
  2. Wanawatumia economic hitmen
  3. Kuna crisis nyingine itatokea very soon kama ile ya mafuta then kabla haijaisha itatokea ingine in between wananchi wataingia barabarani
  na hii ndio ntoleee either the government fall or situation changed.

  Hiyo ndiyo brief niliyopata.

  My TAKE: Ni kweli hali ya maisha ni ngumu, ni kweli tunao ufisadi na ni kweli viongozi wetu legelege. URANIUM itatuletea matatizo very soon.
  kuna mapapa na manyangumi yanaililia lakini wataweza kuiexplore better when they have their own government.

  Napenda sana kuona utawala wa ccm ukiondoka madarakani lakini sio kwa external forces but internal once.

  Msiniulize source, sit down contemplate what is happening see what can be done to rescue.


  Sio lazima upost kwenye hii thread cha msingi fikiria


  Tanzania nchi yangu, Mungu ibariki Tanzania
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ungesubili hzo nyeti zikawa maalumu ndio ukazileta.
   
 3. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  kwi kwi kwi kwi!!! Duh! C mchezo....,
   
 4. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Umenyƶnya viloba vingapi?
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nyeti nyeeeti..............huh
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mleta mada anaweza kuwa yuko sahihi.

  Hata mimi, tokea US,CIA walipolipua balozi zao Nairobi na Dar nilijua sasa mkakati umeanza wa kuziharibu nchi hizi. Ni suala la muda tu.
  Zile fedha za Millenium Challenge na vyandarua ni kutufanya tuzubae ili watutandike.....hii Uraniun, gas na fununu za mafuta ni sababu tosha ya hawa waharibifu wa dunia kuja kutuchafua. Yaani mbali na kwamba wanatuachia only 3% bado wanaona ni nyingi.

  Tunaweza kum-beza mleta mada lakini kuna kaukweli ndani yake.....tulisharipotiwa kuwa US wamepitisha sheria ya kumsaka Joseph Konye huko Uganda..sababu? Uganda wamegundua mafuta, kwa Tz ,US wanasema wako tayari kujenga Northern corridor,utanuzi wa Bandari ya Tanga na barabara itayounganisha Uganda na Tanzania.

  Something is fishy! Tutafumuliwa kama Libya na kama ambavyo wameanza huko Uganda.

  Maumivu ya kichwa huanza pole pole!
   
 7. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,051
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Hivi nimefikaje huku!!? Samahani... Nionyesheni njia ya jukwaa la afya!
   
 8. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,542
  Likes Received: 1,290
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mutambukamalongo,

  mbu aenezae malaria huwa active zaidi kuanzia saa sita usiku. Kwa nini mimi sifahamu
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Du ina maana waTz tumezoea shida kiasi kwamba hatuwezi fanya kitu bila external forces! Kwa kweli hiii ni dharau ya hali ya juu!
   
 10. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mkuu, habari yako inatia shaka sana kwa sababu hao unaowatuhumu kwamba wanataka kuchochea machafuko ndo wanafurahi zaidi tunapoendelea kuwa na serikali legelege ya ccm maana wao wanafaidi zaidi kwa njia za wizi, ufisadi, rushwa, mikataba feki nk, kwa kushirikiana na viongozi wetu.
  Wakichochea machafuko ili kuwe na mabadiliko ya serikali uwezekano ni kwamba serikali itakayokuja itajali zaidi maslahi wa taifa na wananchi wake, kwa hiyo mianya ya ufisadi itazibwa. Sasa mianya ikizibwa wao watapata wapi nafasi ya kujichotea?
  Nadhani unge-reason kwanza kabla ya kuileta habari yako.
   
 11. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Upo sawa kabisa mkuu na hao wajuba wangalifanya hayo anayo yafikili mtoa mada kama wasinge kua na mahusiano mazuri na serikali iliyopo ....labda lengo liwe ni kutuuzia siraha tu na si kwa aajili ya mafuta ges na mengine mengi kwa sababu hata sasa wanajichotea tu kwa kiwango kisicho fafanulika..
   
 12. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Conspiracy theories at it's best, wakuu tulishaema humu weeeeeeeeeee!!!! hiyo Uranium yenu ni kidogo mno ukilinganisha na proven reserves walizonazo Namibia na Niger. Na kwa siasa ya siku hizi it's very risk kuinvest kwenye sehemu yenye machafuko. Not sure ukweli au uongo wa habari yako lakini the "Uranium story" makes it a very cheap shot!
   
 13. N

  Nonda JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama umefuatilia habari za Libya , utaona kuna habari kuwa M16, CIA wamekuwa na deals na Gaddafi na "rebels" wao kwa wakati mmoja.
  Hata baada ya kuanza kuonesha kuwa wanamkubali Gaddafi,kichi chini walianza mipango ya kumtoa.
  Kuwa fujo, vita ,mizozo ndio vitu wanavyovipendelea katika nchi wanazozilenga kuziibia hili halina shaka. kunakuwa na cycle ya biashara na uuzaji wa sialaha, pia kurahisisha ukwapuaji wa utajiri wa nchi husika.

  Na uanzishi wa fujo,huanza kwa "kutia hamira" hali ambayo tayari ni tata. Ni wazi watanzania wanafaidi "maisha bora" yao ambayo wameahidiwa na kikwete na kila mtu asiye fisadi au kuwa na maslahi binafsi na utawala wa Kikwete angependa kuona utawala wa Kikwete unang'oka leo kabla ya kesho. Kwa hiyo ,West- US huku wanamsifia na kumpiga vijembe kwa upande mmoja, kwa upande mwengine wanatumia njia nyingi kuichafua serikali ya Kikwete kupitia kama Wikilieaks ambayo kwa karibuni imekuwa inavujisha nyaraka za siri hasa kwa nchi ambazo zinatakiwa, zinatayarishwa ziingie katika mizozo....Kwa nini wikiliaks hawavujishi mipango ya siri ya muaji yanayopangwa na US, France, UK?

  anyway, ukiangalia hapa utaona , kazi ya kuweka "hamira" inafanyika kwa ustadi, tayari wananchi wanahasira juu ya utendaji mbovu wa serikali, maisha magumu, ufisadi, richmond,Barrick wanavyochota dhahabu zetu, EPA, wabunge na mawaziri kupata mashangingi lakini wananchi wagonjwa kupata vibajaji kuwasafirsha kwenda kwenye zahanati na hospitali ambazo hazina dawa wala vifaa vya kutibia wagonjwa ..nk na kauli za utani za kuwa uchumi wa Tanzania unapaa..

  Tanzania denies president bribe claims in US cable | Top News | Reuters

  Kwa hiyo, mleta mada anaweza kuwa ameshaisoma vyema misinformation and confusion tactics za US-West. Kitu wanachojali wao siku zote na bila ya aibu husema "our national intersts". Hawajali watu wakiuana, wakichinjana au kuandamana, bora kwao kuuza silaha zao na kuchota wanachokitaka.
   
 14. F

  Froida JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hakuna takayeingiza kitu kutoka nje hiyo haimo kwenye psychology ya binadamu ila wao wenyewe watanzania wakiamua kufanya hayo watayafanya
   
 15. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi bado tuna kitu ambacho mataifa mengine yanakimezea mate?? mimi nilifikiri wameshachukua kila kitu na kuondoka kwa sababu mheshimiwa mmoja alituambia "nchi imebaki mifupa tu". Kumbe bado tunavyo basi Mungu mkubwa. Ila nina wasiwasi kama hiyo ndoto inaweza kuwa ya kweli. Unajua ndoto zingine ni za kukuburudisha ukiwa usingizini. Madini tumeshawapa, wanyama tumeshawapa, ardhi tumewapa kwa miaka 99 na tutawaongezea miaka mingine kabla hii haijaisha, mali asili zote tumewaambia chukueni. Lakini tunashukuru kwamba angalao mkubwa wetu kaambulia suti.!!
   
 16. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Nyie wote ni magamba yaleyale. mmeshaona mindset za wabongo zimebadilika sasa mnatafuta vijisababu vya maandamani na nini sijuiiiiii.........na bado lazima serikali hii ya magamba itoke kwenye utawala wa nchi hii, watu tumeshachoka na umasikini huku wachache na familia zao wakifaidi keki peke yao.

  Sioni mantiki ya kuhusianisha ya Libya na Tanzania. Kwani waloanzisha maandamano Misri, Tunisia na Libya walikuwa ni wazungu. Gadhafi amekaa zaidi ya miaka 41, Mubaraka zaidi ya 30 na mwenzake wa Tunisia.

  Chama cha Magamba kina zaidi ya miaka 50, sasa kwanini na wao wasiondolewe. Ni suala la muda tu magamba waondoke madarakani, na hilo mnalijua ndio maana mnaanza kuweweseka na kutafuta sababu. Miaka 50 mlokaa madarakani inatosha, kimbunga kinakuja nyie endeleeni kumtafuta mchawi wenu huku mnajua kuwa wachawi ni nyie wenyewe.

  Tunakuja kama kimbunga cha Irene, mtakoma.
   
 17. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Hivi kweli watatnzania tulihitaji kujua maduaka na aina ya nguo anzaovaa ******. nadhani Kurugenzi ya Habari ya ****** haikuhitaji kutuambia maduka anakonunua nguo anapoenda kutalii ulaya. Nilishangaa Salva aliposema hamjui vizuri ****** ila sasa ameanza kumfahamu na hata maeneo nakofanya shopping zake ulaya.
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mkweree ni kituko tu kwa nchi hii, hana sifa za kuwa presidaa!
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Pambaf zako, you want us to see what is hapening?, what is it?. Yes i can see what is hapening: JK taking away our wealth and destiny- is he the jasusi you are talking about?, who is bad to our resources and generations more tha JK and his family?, yuo can fool some people sometimes but cant fool all the people all the time.
  <br />
  <br />
   
 20. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Usituwekee hapa jamvini ndoto unazoota ukiwa umelala baada ya shughuli na mke wako! Kama siyo ndoto kwa nini useme tusikuulize source??/
   
Loading...