Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

Imeteuliwa na mabeberu ?

Ongeza pia maneno ya kiswahi kwa kujua maana ya neno beberu na hatua za ubeberu.... Yaani ubepari na ukabaila

Inajue maana ya beberu👇👇👇
20201118_230335.jpg
 
Ujinga wa wengi wetu ndio mzigo mzito wa taifa hilo. Hii ni nafasi ya kupokezana, kura zinapigwa tu kuthibitisha kuwa Tanzania ifuate au nchi nyingine katika alfabeti ichukue. Hakuna sifa za nafasi hii isipokuwa uanachama wa Umoja wa Mataifa!!

Tunarudi kulekule kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa SADC kuifanya kuwa issue.

Tujifunze kufahamu mambo hufanywaje na wenzetu. Sio kila jambo ni sifa au fedheha kwa Tanzania. Mengine ni utaratibu tu.
 
Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa kamati hiyo.

Tarehe 23 Novemba 2020, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Prof. Kennedy Gastorn, ameongoza kikao cha kwanza cha kamati hii kwa mwaka huu, hii ni mara ya kwanza Tanzania kushika nafasi ya kuongoza kamati hii nyeti ya Umoja wa Mataifa.
Usidanganye watu, haijashikwa na Tanzania, imeshikwa na Mtanzania na atafanyakazi kulingana na kanuni zinavyomruhusu tu
 
Tusijifu sana,ni zamu yetu,kwa hiyo isitumike kisiasa.wala haibadilishi chochote!!

Mfano,ikiwa baba walianzisha kampuni na marafiki zake, baadaye baba kafa,zamu yake itakapo fika ya kuongoza basi kijana wake atapewa kuongaza hata kama kijana huyo hafai,kwa hiyo ni zamu yetu tusijifu.

By the way nchi ndiyo inapewa siyo balozi au rais, lakini,kwa sababu sisi ni representative nation basi rais anastand behalf of Tanzanians,


Kwa hiyo sioni kipya hapo.

Ni ushamba ushamba tu.
 
Ccm mazuzu Sana Kenya wana kiti baraza la usalama UN lkn hata siku moja hawapigi makelele hv nyie uvccm kupewa hako ka kamati uchwara kelele kibao,enzi za jk post za UN zilikuwa kibao sn lkn ilichukuliwa kawaida ssna,hii ccm mpya mnatia aibu Sana pumbafuu nyinyi
Mama yako nae ni zuzu?
 
Back
Top Bottom