Kurzweil JF-Expert Member May 25, 2011 6,622 8,397 Jul 20, 2016 #1 Tanzania imepata tuzo mbili kutoka umoja wa mataifa Africa 'AU'. Tuzo ya kwanza ni katika ustawi wa jamii kwa ujumla wake. Tuzo ya pili ni ya kutambua haki za wanawake ambapo Tanzania ilingia tano bora katika kutambua haki za wanawake.
Tanzania imepata tuzo mbili kutoka umoja wa mataifa Africa 'AU'. Tuzo ya kwanza ni katika ustawi wa jamii kwa ujumla wake. Tuzo ya pili ni ya kutambua haki za wanawake ambapo Tanzania ilingia tano bora katika kutambua haki za wanawake.
Robot la Matope JF-Expert Member Apr 10, 2015 7,041 13,689 Jul 20, 2016 #2 Vp tuzo ya kusoma namba? Maana siku hizi tuinasoma woootd
A Andrew123 JF-Expert Member Jun 2, 2012 7,046 8,621 Jul 21, 2016 #3 Wazee wenye macho mekundu Shinyanga