Tanzania imepata tuzo mbili kutoka umoja wa mataifa Africa 'AU'

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Tanzania imepata tuzo mbili kutoka umoja wa mataifa Africa 'AU'. Tuzo ya kwanza ni katika ustawi wa jamii kwa ujumla wake.

Tuzo ya pili ni ya kutambua haki za wanawake ambapo Tanzania ilingia tano bora katika kutambua haki za wanawake.
 
Back
Top Bottom