Umenena kweli kabisa. Hasa tuliopata kuishi nje ya nchi tunapata taabu mnoo kuzoea umbeyambeya wa watanzania. Nadhani Dr Magufuli akazane kabisa ili watanzania wanyooke!Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandishi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya,
baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi, wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao,
makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu,
watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.
Kisarawe naye nje ya nchi, hovyooo! Na kimekupeleka nini huko unakoita nje kama sio umbea?Umenena kweli kabisa. Hasa tuliopata kuishi nje ya nchi tunapata taabu mnoo kuzoea umbeyambeya wa watanzania. Nadhani Dr Magufuli akazane kabisa ili watanzania wanyooke!
Kuna Thread zingine unafungua alafu unajuta kwanini hata ulifunguaHivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandishi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya,
baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi, wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao,
makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu,
watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.
Usipaniki....., ila huo ndiyo ukweli, watanzania wengi;Kisarawe naye nje ya nchi, hovyooo! Na kimekupeleka nini huko unakoita nje kama sio umbea?
Based on which research?Can you please share with us the manuscript?Usipaniki....., ila huo ndiyo ukweli, watanzania wengi;
- Waongowaongo
- Hawajali muda
- Wavivu kufanya kazi
- Wanawaza kuiba tu ili waendelee
- Wanawaza ngono
- Wengi ni matapeli (mpaka vyuo vikuu mfano professors na lecturers)
Mkuu nashukuru kwa kuliona hilo.Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandishi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya,
baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi, wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao,
makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu,
watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.
Wa chadema hawana tofauti na wambeya wa mbeyaTumepishana tu viwango vya umbea. Ila wantanzania wanao itumikia ccm wamezidi kwa viwango vya umbea. Hao wamepitiliza na sasa wapo kwenye unafiki.
Hii thread nilitaka kuanzisha kipindi flan nikaogopa mapovu ya wambea wenyewe/halisi
Eti, yani mimi kugonga lunch Mcity taarifa zishafika ofisini. Eti naishi maisha ya juu kuliko mshahara wangu. Yan ni full umbeya.Bosi wangu naye ofisini ni mbeya..anauliza viswali kutaka kupata taarifa za watu kimbeya..kweli tunaishi kimbeya
Dah ungekuwa karibu yangu leo ningekutoa lunch na hili ndo tatizo kubwa la hiyo nchi ya mazombi karibu Jo'burg kaka
Wewe jamaa mbaya sana, sasa unataka watu wachangie nini kama sio kuwapeleka kubaya? Wa faini ya million saba hajamaliza na mnataka afungwe! We mbaya kabisa.Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandishi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya,