Tanzania imekuwa nchi ya Umbeya

Tanzania imekuwa nchi ya Umbeya

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
1,984
Reaction score
1,409
Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandishi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya,

baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi, wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao,
makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu,
watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.
 
Hii thread nilitaka kuanzisha kipindi flan nikaogopa mapovu ya wambea wenyewe/halisi
 
Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandidhi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya, baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi, wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao, makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu, watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.
Wewe mwenyewe hapa unaandika umbeya
 
Umbeya hauwezi kukosekana hapa duniani, labda mbinguni tu. Umbeya upo na utaendelea kuwepo, wewe upuuze tu uendelee na maisha yako. Wengine umbeya kwao ni ajira.
 
Tumepishana tu viwango vya umbea. Ila wantanzania wanao itumikia ccm wamezidi kwa viwango vya umbea. Hao wamepitiliza na sasa wapo kwenye unafiki.
 
Umesahau na Wanasiasa nao wanafanya siasa za umbeya kama watendaji wanavyotenda umbeya au wateuzi wanavyoteua umbeya
 
Bosi wangu naye ofisini ni mbeya..anauliza viswali kutaka kupata taarifa za watu kimbeya..kweli tunaishi kimbeya
 
Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandidhi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya, baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi, wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao, makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu, watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.

Dah ungekuwa karibu yangu leo ningekutoa lunch na hili ndo tatizo kubwa la hiyo nchi ya mazombi karibu Jo'burg kaka
 
Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandishi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya,

baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi, wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao,
makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu,
watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.
na wewe je umeandika nini hapa?
 
Nafuu tatizo limeeleweka. Basi endeleeni kulitatua polepole.
 
Chakula kwa wingi zaidi kinatoka mbeya viazi mbeya mchele mbeya kila kitu mbeya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom