Tanzania imekuwa kama nyumba ya mjane

Tanzania imekuwa kama nyumba ya mjane

June 2023

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
411
Reaction score
767
Ndugu wanajamvi, ni kweli haya ninayoyasema!

Tangu kuibuliwa Kwa MFUMO WA UCHAWA,yaani mfumo wa kumsifu RAIS na kumtetea, vimeibuka vikundi Vingi sana na watu wengi sana ambao Sasa wanaoitwa MACHAWA.

Jambo hili limevuka mipaka Sasa ambako zimeanzishwa TAASISI mbadala za kuisemea serikali badala ya IDARA YA HABARI NA MAELEZO.

Waigizaji na wachekeshaji nao wamekuwa MACHAWA wa kumtetea RAIS!

HEBU TUANGALIE KIDOGO MAMBO YAFUATAYO:

Steve Nyerere Mengeli ni MSEMAJI WA SERIKALI au nchi ya Tanzania? Je, nchi imekosa watu wenye weledi na wajuzi wa mambo ya nchi mpaka COMEDIAN AWE msemaji wa RAIS AU NCHI kama alivyofanya MENGELI KUMJIBU GWAJIMA?

NCHI HII Tanzania imekufa rasmi Sasa kama Kila mtu anainuka kujibu mambo ya muhimu ya USALAMA WA NCHI? KUHOJI SIYO SHIDA! maana watu wanakufa, wanatekwa na vifo vyao vinaonekana na wanazikwa!

Mtu Baki anaamkeje na kuanza kujibu mambo ya kiusalama? Tena Kwa kujinadi tu.?
 
Katika mapambano yako kama mambo hayajakwenda sawa, basi unaamua kuzama kwenye siasa kumalizia muda wako wa kuishi uliobaki,sasa huko lazima ujifyatue akili.
 
Sawa ila MKUU kama nchi hayupo katika njia sahihi
 
Ndugu wanajamvi, ni kweli haya ninayoyasema!

Tangu kuibuliwa Kwa MFUMO WA UCHAWA,yaani mfumo wa kumsifu RAIS na kumtetea, vimeibuka vikundi Vingi sana na watu wengi sana ambao Sasa wanaoitwa MACHAWA.

Jambo hili limevuka mipaka Sasa ambako zimeanzishwa TAASISI mbadala za kuisemea serikali badala ya IDARA YA HABARI NA MAELEZO.

Waigizaji na wachekeshaji nao wamekuwa MACHAWA wa kumtetea RAIS!

HEBU TUANGALIE KIDOGO MAMBO YAFUATAYO:

Steve Nyerere Mengeli ni MSEMAJI WA SERIKALI au nchi ya Tanzania? Je, nchi imekosa watu wenye weledi na wajuzi wa mambo ya nchi mpaka COMEDIAN AWE msemaji wa RAIS AU NCHI kama alivyofanya MENGELI KUMJIBU GWAJIMA?

NCHI HII Tanzania imekufa rasmi Sasa kama Kila mtu anainuka kujibu mambo ya muhimu ya USALAMA WA NCHI? KUHOJI SIYO SHIDA! maana watu wanakufa, wanatekwa na vifo vyao vinaonekana na wanazikwa!

Mtu Baki anaamkeje na kuanza kujibu mambo ya kiusalama? Tena Kwa kujinadi tu.?
Kitu pekee tunachoweza ni kuanzisha mada jf kwa jina feki huku tukiamini jf inatulinda tusijulikane tunaabzisha mada na kukoment imeisha iyo!
 
Back
Top Bottom