Tanzania ilipowafurusha wamarekani

Nimeshasafiri kwenye basi la TUNU EXPRESS 😂😂 dereva alikuwa ni CCM😆
hahaaaaa ndio utajua kwani kuna madaraja ktk vyombo vya usafiri! usishangae ata mahotelini ata hapo class ndio maana wengini wako ktk zege hahaaaaa
 
Hivyo mpaka sasa mambo mengi uko nyuma yanatokea lakini vyombo vya usalama vinadhibiti kila aina ya mbinu ovu ya adui wa nje na hata adui wa ndani, na wasio tutakia mema Tanzania kwa tunu tuliojaliwa, wanatamani tukosea amani tupigane tuuwane jambo ambalo kwa Tanzania wameshindwa na Mwenyezi Mungu tunamuomba azidi kutusimamia Nchi yetu amani, upendo utawale.
Hiki kipande hakiko sawa sana.

Wakati mwingine tusifanye mambo yasiyokuwa mazuri kwa raia wetu, halafu tugeuze kibao kuwasingizia watu wa nje kuja hapa na kutuchafulia amani yetu.

Huko juu kabisa ya mada yako, miaka hiyo ya 1964 hatukuwa na uhasama mkubwa na Marekani. Kuna watu wanakumbuka kula burgar na mafuta mengi ya soya enzi hizo, hasa wakati wa urafiki wa Mwalimu na John Kennedy. Johnson hakubadili sana mwelekeo wa serikali yake baada ya kifo cha Kennedy.

Huenda umekosea mwaka mambo hayo uliyoyaeleza yalipojitokeza, kama ni kweli yalitokea.
 
Na The Great B
Nothing is as it seems

Tulipokuwa wadogo tulikuwa tukitizama movie mbalimbali zinazoonesha Amerika wao ni watu wa kushinda tu hata katika historia kwamba sehemu walizoshindwa vibaya na kupigwa kipigo kitakatifu wao kwenye movie walibadilisha kuonesha wameshinda, zote propaganda na kuharibu akili za watu kuamini wao ni kila kitu.

Hali hii bado watu wanayo tena watu wazima wanaodhani kuwa Nchi zingine hazina uwezo kumzidi US au hazina Intelegensia nzuri jambo ambalo si kweli. MOYO KABLA YA SILAHA

Nakukumbusha kisa hiki

Hali ya usalama nchini Tanzania mwishoni mwa mwaka wa 1964 na mwanzoni mwa 1965 ilikuwa tete. Mgogoro wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Marekani ulikuwa umeanza Novemba 1964.
Maofisa wa usalama wenye weledi wa hali ya juu walingia mzigoni na kuzipata nyaraka zinazoelezea mpango wa Marekani kuisaidia Ureno kuiangusha Serikali ya Tanzania.

Mgogoro huo uliongezeka zaidi Januari 11, 1965, wakati maofisa usalama wa Tanzania waliponasa mazungumzo ya simu ya wanadiplomasia wawili wa Marekani, Bob Gordon na Frank Carlucci, waliosikika wakizungumza kwa namba kuhusu kile kilichoonekana kuwa njama za kuiangusha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Basi ni kama waliochokoza kifimbo cha Mwalimu Nyerere, Babu akuwalazia damu haraka sana akawapa masaa kadhaa waondoke katika ardhi ya Tanzania.

Wamerekani kinyonge na kwa aibu wakabeba virago vyao na kurudi kwao, ili wakajifunze tabia njema, njama zao ovu zikaishia hapo.

Moyo Kabla Ya Silaha
The Great B
1969 US kupitia NASA walienda mwezini.
Hawa jamaa zetu wa pale kijitomchuzi ndio kwanza wanawaza kwenda Gamboshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wanaziheshimu? Tutaongea yote ya utawala huu, ila linapokuja swala la kushabikia hawa wanaojiita super powers ki ukweli huwa nashangaa sana.

Historia ni Mwalimu mzuri, hakuna sehemu haya mataifa yalishawahi kupenda au kutamani kuona nchi ndogo zinadhubutu kupiga hatua

Ghadafi alijikakamua kutaka Afrika iwe na hadhi yake wenzake wakasua sua kumuunga mkono leo tunaona yanayoendelea huko Libya

Historia inaonyesha haya mataifa makubwa hayajawahi kuwa na upendo kwa mataifa madogo hata kwa hivyo vigezo vya haki za binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusoma na kuandika umefundishwa na hao unaowaita mabeberu.

Kweli punda shukrani yake ni mateke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wanaziheshimu? Tutaongea yote ya utawala huu, ila linapokuja swala la kushabikia hawa wanaojiita super powers ki ukweli huwa nashangaa sana.

Historia ni Mwalimu mzuri, hakuna sehemu haya mataifa yalishawahi kupenda au kutamani kuona nchi ndogo zinadhubutu kupiga hatua

Ghadafi alijikakamua kutaka Afrika iwe na hadhi yake wenzake wakasua sua kumuunga mkono leo tunaona yanayoendelea huko Libya

Historia inaonyesha haya mataifa makubwa hayajawahi kuwa na upendo kwa mataifa madogo hata kwa hivyo vigezo vya haki za binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app

Akili yako ni nzuri
 
Hiki kipande hakiko sawa sana.

Wakati mwingine tusifanye mambo yasiyokuwa mazuri kwa raia wetu, halafu tugeuze kibao kuwasingizia watu wa nje kuja hapa na kutuchafulia amani yetu.

Huko juu kabisa ya mada yako, miaka hiyo ya 1964 hatukuwa na uhasama mkubwa na Marekani. Kuna watu wanakumbuka kula burgar na mafuta mengi ya soya enzi hizo, hasa wakati wa urafiki wa Mwalimu na John Kennedy. Johnson hakubadili sana mwelekeo wa serikali yake baada ya kifo cha Kennedy.

Huenda umekosea mwaka mambo hayo uliyoyaeleza yalipojitokeza, kama ni kweli yalitokea.
Kila kitu kiko sswa, kisha umefanyiwa nn ww unaishi vzr mpaka unapata nafasi ya kutype dadeki nenda yemen basi
 
Na The Great B
Nothing is as it seems

Tulipokuwa wadogo tulikuwa tukitizama movie mbalimbali zinazoonesha Amerika wao ni watu wa kushinda tu hata katika historia kwamba sehemu walizoshindwa vibaya na kupigwa kipigo kitakatifu wao kwenye movie walibadilisha kuonesha wameshinda, zote propaganda na kuharibu akili za watu kuamini wao ni kila kitu.

Hali hii bado watu wanayo tena watu wazima wanaodhani kuwa Nchi zingine hazina uwezo kumzidi US au hazina Intelegensia nzuri jambo ambalo si kweli. MOYO KABLA YA SILAHA

Nakukumbusha kisa hiki

Hali ya usalama nchini Tanzania mwishoni mwa mwaka wa 1964 na mwanzoni mwa 1965 ilikuwa tete. Mgogoro wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Marekani ulikuwa umeanza Novemba 1964.
Maofisa wa usalama wenye weledi wa hali ya juu walingia mzigoni na kuzipata nyaraka zinazoelezea mpango wa Marekani kuisaidia Ureno kuiangusha Serikali ya Tanzania.

Mgogoro huo uliongezeka zaidi Januari 11, 1965, wakati maofisa usalama wa Tanzania waliponasa mazungumzo ya simu ya wanadiplomasia wawili wa Marekani, Bob Gordon na Frank Carlucci, waliosikika wakizungumza kwa namba kuhusu kile kilichoonekana kuwa njama za kuiangusha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Basi ni kama waliochokoza kifimbo cha Mwalimu Nyerere, Babu akuwalazia damu haraka sana akawapa masaa kadhaa waondoke katika ardhi ya Tanzania.

Wamerekani kinyonge na kwa aibu wakabeba virago vyao na kurudi kwao, ili wakajifunze tabia njema, njama zao ovu zikaishia hapo.

Hivyo mpaka sasa mambo mengi uko nyuma yanatokea lakini vyombo vya usalama vinadhibiti kila aina ya mbinu ovu ya adui wa nje na hata adui wa ndani, na wasio tutakia mema Tanzania kwa tunu tuliojaliwa, wanatamani tukosea amani tupigane tuuwane jambo ambalo kwa Tanzania wameshindwa na Mwenyezi Mungu tunamuomba azidi kutusimamia Nchi yetu amani, upendo utawale.

Moyo Kabla Ya Silaha
The Great B
Simu ya Aina gani ilinaswa au kudukuliwa Enzi hizo? Hii habari kama Paukwa Pakawa vile. Ureno kuingusha Tanzania! Ureno!Ureno mhhiiiuuu.
 
Tusiishi kama kuku. Kuku, mwenzake anapokamatwa kwenda kuchinjwa na yeye akaachwa anaona aliyechinjwa alikuwa mjinga. Bila kutambua kuwa, hata yeye kuna siku atachinjwa, japo inaweza isijulikane ni lini.

Katika jamii ya watu waliostaarabika na wenye akili, binadamu mwenzenu mmoja akitendewa uovu, mmetendewa ninyi nyote. Mtu mmoja akitekwa, akipotezwa, akauawa, akamiminiwa risasi bila hatia au akabambikiwa kesi bila kosa, tumetendewa wanajamii nzima.

Si haki kwa watawala kuwatendea wanaowatawala kama mifugo. Namna ya kuwaongoza wanaowatawala imeelekezwa katika katiba na sheria. Na sheria hizo ni lazima zitumike kwa dhamira njema kama ilivyokusudiwa. Sheria zisitumike kuwakomoa watu.
 
Ivi kwanini marekani ndie kama baba 2a maifa yote, yani kila kitu tumuogope, na kushitaki kwake kila yanayotokea ndani ya nchi zetu,?

Tanzania tuna feli sana hasa pale tunapohitaji kuwa na umoja kupigania kile tulicho nacho, tujifunze kwa Irani jinsi vile walivo na vibe la kumpiga huyo tunaye mnyenyekea sie,
Umoja haupo ulishavunjwa na watawala
 
Na The Great B
Nothing is as it seems

Tulipokuwa wadogo tulikuwa tukitizama movie mbalimbali zinazoonesha Amerika wao ni watu wa kushinda tu hata katika historia kwamba sehemu walizoshindwa vibaya na kupigwa kipigo kitakatifu wao kwenye movie walibadilisha kuonesha wameshinda, zote propaganda na kuharibu akili za watu kuamini wao ni kila kitu.

Hali hii bado watu wanayo tena watu wazima wanaodhani kuwa Nchi zingine hazina uwezo kumzidi US au hazina Intelegensia nzuri jambo ambalo si kweli. MOYO KABLA YA SILAHA

Nakukumbusha kisa hiki

Hali ya usalama nchini Tanzania mwishoni mwa mwaka wa 1964 na mwanzoni mwa 1965 ilikuwa tete. Mgogoro wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Marekani ulikuwa umeanza Novemba 1964.
Maofisa wa usalama wenye weledi wa hali ya juu walingia mzigoni na kuzipata nyaraka zinazoelezea mpango wa Marekani kuisaidia Ureno kuiangusha Serikali ya Tanzania.

Mgogoro huo uliongezeka zaidi Januari 11, 1965, wakati maofisa usalama wa Tanzania waliponasa mazungumzo ya simu ya wanadiplomasia wawili wa Marekani, Bob Gordon na Frank Carlucci, waliosikika wakizungumza kwa namba kuhusu kile kilichoonekana kuwa njama za kuiangusha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Basi ni kama waliochokoza kifimbo cha Mwalimu Nyerere, Babu akuwalazia damu haraka sana akawapa masaa kadhaa waondoke katika ardhi ya Tanzania.

Wamerekani kinyonge na kwa aibu wakabeba virago vyao na kurudi kwao, ili wakajifunze tabia njema, njama zao ovu zikaishia hapo.

Hivyo mpaka sasa mambo mengi uko nyuma yanatokea lakini vyombo vya usalama vinadhibiti kila aina ya mbinu ovu ya adui wa nje na hata adui wa ndani, na wasio tutakia mema Tanzania kwa tunu tuliojaliwa, wanatamani tukosea amani tupigane tuuwane jambo ambalo kwa Tanzania wameshindwa na Mwenyezi Mungu tunamuomba azidi kutusimamia Nchi yetu amani, upendo utawale.

Moyo Kabla Ya Silaha
The Great B
Kwa hiyo tusubirie mwendelezo au uzi ndio tayari?

eti tanzania ni ya pili kwa upelelezi wa ndani hapa duniani eti eh?
 
Simu ya Aina gani ilinaswa au kudukuliwa Enzi hizo? Hii habari kama Paukwa Pakawa vile. Ureno kuingusha Tanzania! Ureno!Ureno mhhiiiuuu.
Ww mpumbavu nani alikwambia mwaka 65 hakuna simu kujifanya unajua kumbe ujui tako lako
 
Kahamie unapoziona msiyokuwa na shukrani kwa neema mliyonayo nenda kaishi kongo
Pumbafu,wewe unazijua hizo tunu?.
Kama kwenu mnafaidika zazo Ni kwenu,shenzi type Kama kwenu ndo wahusika wakuu nitazungumzaje kuhusu tunu wakati kwetu Ni maskini?.
Kama kwenu mna utajiri ulotokana na hizo tunu mi kwetu Ni maskini na hizo tunu huwa nazskia tu.
 
Kila kitu kiko sswa, kisha umefanyiwa nn ww unaishi vzr mpaka unapata nafasi ya kutype dadeki nenda yemen basi
Akili kama hizi zako ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi yetu.

Akili za kutegemea "kufanyiwa", na kusubiri kutoa shukrani kama maisha yenu ni mali za hao mnaowategemea 'wawafanyie'.

Watu kama nyinyi mngestahili kuwekwa sehemu moja na kutuacha sisi tunaoishi kwa kujitambua twende mbele bila ya mizengwe yenu ya kipumbavu kama haya uliyoandika hapa.
 
Back
Top Bottom