Kusema kweli waisilamu tuseme kweli tu dini yetu inatufundisha kuwa wakristo ni makafiri tu na awapaswi kuongoza waslamu. Tazama yanayofanywa na kundi la ISis huko iraq ndio utajua. Mimi kweli naogopa sana kama tutajikuta kama nchi tumeanza kugwanyika kidini balaa lake ni kubwa.
Atnatu.
Unajuwa maana ya dini?
Kusema kweli waisilamu tuseme kweli tu dini yetu inatufundisha kuwa wakristo ni makafiri tu na awapaswi kuongoza waslamu. Tazama yanayofanywa na kundi la ISis huko iraq ndio utajua. Mimi kweli naogopa sana kama tutajikuta kama nchi tumeanza kugwanyika kidini balaa lake ni kubwa.
neno halisi ni "din" ambalo ni lugha ya kiaarabu kwa kiingereza wanasema "religion". Na hii pale unaamini kitu chenye nguvu isiyoonekana, iwe ya kweli au uwongo.
Kweli kabisa huo udini ndiyo mada iliyopo, na mimi naamini, ukitajwa "udini" basi ni Uislam, na wakitajwa "wadini" basi bila shaka ni Waislaam.
Naomba nipinge katika hilo au nieleimishe na unioneshe ni nani "mdini" Tanzania hii zaidi ya Muislam.
Moja ya matendo bora kabisa ni Hijja kwa mwenye uwezo, au funga na kukithirisha ibada. Haya makundi umewahi kusikia wakihamasisha haya mkuu??!!!Kuna wale Boko Haram pia kule Nigeria kuna Al Shabab kule Somalia ambao wamefanya mauaji ya kutisha Kenya kwa kuwalenga wale ambao si Waislamu.
Baba Mr. ADAM...أدم ushukuriwe......udini,udini ni mbaya sana. Sote ni ndugu watoto wa baba mmoja.
Kusema kweli waisilamu tuseme kweli tu dini yetu inatufundisha kuwa wakristo ni makafiri tu na awapaswi kuongoza waslamu. Tazama yanayofanywa na kundi la ISis huko iraq ndio utajua. Mimi kweli naogopa sana kama tutajikuta kama nchi tumeanza kugwanyika kidini balaa lake ni kubwa.
chadema walipoitwa chama cha ukristo we we hukuona using, ukashabikia kwa nguvu na kutoa comments Nyingi, ukitaka tutakukumbusha. Mimi Nadhani una njaa , tafita pilau ya sherehe ukaleNaam, Tanzania iko mashakani.
Kwa nini?
Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.
Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.
Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.
Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.
Moja ya matendo bora kabisa ni Hijja kwa mwenye uwezo, au funga na kukithirisha ibada. Haya makundi umewahi kusikia wakihamasisha haya mkuu??!!!
Uislam ni kitu kikubwa na cha amani kuliko ujjinga wa hawa unaowataja mkuu!!!

Hayo mazuri yapo kwenye dini zote Mkuu. Baadhi ya viongozi waliowahi kutoa kauli za kudai kwamba CUF ni chama cha kiislamu na Chadema cha kikristo ni waislamu na walienda hija sasa kwanini wasitumie hija yao kupandikiza mbegu ya upendo miongoni mwetu Watanzania bila kujali imani zetu bali hupandikiza mbegu za chuki "Chama kile ni cha waislamu/wakristo viongozi wake wote ni waislamu/wakristo"? Wanataka kuleta udini wale nchini.