Mimi nilijua baada ya Kikwete kuteua waislam wawili mfululizo tu italeta shida
tulipokuwa na CAG na AG wakristo haikuwa shida.....now hizo pisition zimekuwa replaced na waislam...
some people cant hide their unhappiness......
We dada we sijui ni mama naona kuna kipindi huwa unaota ndoto za mchana.
Naam, Tanzania iko mashakani.
Kwa nini?
Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.
Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.
Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.
Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.
Atnatu.
Unajuwa maana ya dini?
hivi ni wewe kweli au kuna mtu kahack account yako.??Mimi nionavyo hata Kikwete kuwa Rais ni shida. Kwa dini yake tu na si kwa utendaji wake.
Aje mmoja, atowe dosari ya utendaji wa Kikwete tulinganishe na wa kabla yake.
......udini,udini ni mbaya sana. Sote ni ndugu watoto wa baba mmoja.
......udini,udini ni mbaya sana. Sote ni ndugu watoto wa baba mmoja.