Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,615
- 10,118
Kitu simple tu wachaga ni watu wanaotafuta maisha kila kona ya dunia, si bora hiyo umekuta kuna kijana anaangalia nyumba, nyingine zinafugiwa mbuzi na nyumba za maana, kijana akifikisha miaka 15 aNasepaUkienda mkoa wa Kilimanjaro utashangaa mambo yafuatayo
Idadi ndogo ya wanafunzi wanaoandikishwa darasa la kwanza, huku mikoa mingine wanafunzi wakiwa wengi na wengine wanakaa chini Hali ni tofauti mkoa wa Kilimanjaro idadi ya wanafunzi inazidi kushuka kila miaka inavyozidi kwenda Kuna shule inaandikisha darasa la kwanza wanafunzi 10, Kuna nyingine iliandikisha wa-nne
Nyumba nyingi kuwa empty hili ni tatizo lingine kubwa Kuna idadi kubwa sana ya nyumba hazina watu na ukienda vijijini Hali ndo mbaya Zaid nyumba nzuri nyingine gorofa Ila hazina watu sanasana utamkuta kijana mmoja tu ambaye Yuko kwa ajili ya kuziangalia
Vijiji mkoa wa Kilimanjaro havina watu kama umepanga kwenda kukaa week kwa Ile Hali ya vile vijiji vyao utajikuta umehairisha hakuna watu kabisa yaani in-short mkoa wa Kilimanjaro una ukiwa sio sawa na kipindi tunakua
Sio tu uchagani hadi uko upareni Hali inatishaKuna mengi broo yanasababisha,
Mosi kutokana kafara wenyewe Kwa wenyewe,pombe za kienyeji,wanawake. Wengi wa kichaga hawazai kabisa,wanaume wa kichana hasa vijana nguvu za kiume zinayeyuka sana, mirungi alikisussu yaani
Acha kukariri,wape wasafishe mtaroKuna mengi broo yanasababisha,
Mosi kutokana kafara wenyewe Kwa wenyewe,pombe za kienyeji,wanawake. Wengi wa kichaga hawazai kabisa,wanaume wa kichana hasa vijana nguvu za kiume zinayeyuka sana, mirungi alikisussu yaani
Huko Kilimanjaro watu hawaendi kutafuta maishaWatu walienda kufanikiwa sehemu za mbali mkuu.
Abraham aliamrishwa ahame aende akafanikiwe katika nchi ya mbali.Kwa hiyo watu wengi wanaamini kwamba ukitaka kufanikiwa Anza kwa kuhama sehemu uliyozaliwa.
Miaka ijayo Kuna shule zitafungwa kwa kukosa wanafunziNi kweli kabisa hili jambo.sijui hata ufumbuzi wake ni upi