Tanzania, I miss you

Dah...umenikumbusha kuna chobingo moja Posta Mpya...

Ndio ilikuwa staftahi yangu hii daily...

Hukuota kitambi?

Nakumbuka huu mlo nikiwa chuo. Mnatoka asubuhi kusolve matango ya maana ukija kupiga hii basi full kusinzia library.

Huu mlo noma
 
Huko unakoishi Mkuu hakuna Warembo wa kukutengenezea mahanjumati? Baadhi ya warembo wa Kibongo nchi za nje wenye utaalamu katika idara ya jikoni wanatengeneza mahanjumati bomba sana na wengine wameanzisha biashara za mahanjumati na asilimia kubwa ya wateja wao ni Wabongo, huwa wanavuta pesa nzuri sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…