Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi

Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi.

Tanzania tuna kitengo cha jeshi kinaitwa Polisi ambacho kazi yake kubwa sio kusaidia jamii kwenye mambo ya sheria bali kufuata maagizo ya kisiasa na kulinda na kuzuia vurugu. Lakini Polisi ya Tanzania inahusishwa na utekaji na waziwazi wanapokea Rushwa. Jeshi hili ambalo hata vyeo ni vya wakoloni hata wakoloni wenyewe huko kwao hawana jeshi la Polisi la ajabu kama hili letu

Kuanzia Saidi Mwema aondoke hakuna Polisi kabisa ndiyo imezikwa hata wanasiasa wanajua hilo
 
Alipoingia Mzee wa Msogaz,

Ndipo nchi ilianza kutembea mwendo wa mlevi.
 
Leo nimeona polisi wenye silaha wameongezeka kwenye makutano ya barabara nyingi kama pale Mwenge na Morocco, kwani kuna shida gani tena au kuna maandamano yametangazwa?
 
Back
Top Bottom