Tanzania has started to build its own helicopters

Nadhani kila mtu ana sehemu yake na ulingo wake
Ubunifu wa mbunge ni kubuni miradi ya maendeleo ya kuwasaidia wanajimbo wake,kuiwasilisha kwa wadau mbali mbali wa maendeleo ikiwemo serikali ili waiwezeshe itekelezeke wananchi wake wapate ahueni!!! Ubunifu wa mbunge si kufunga matambara mdomoni bungeni
 
Inapendeza sana kuona College zinafanya mambo makubwa kama haya...sasa Dar Es Salaam Institute of Technology (DIT) na zingine ziige huu muelekeo...
 
Kama picha hizo ni miomgomi mwa chopper zilizo tengenezwa hapo arusha aisee ni hatua nzuri kwa nchi yangu na nilisikia mwaza pia wanaunda meli kama sijakosea ,nadhan serikali oegeze support kwa waundaji hawa angalau tuweze kufanya tunayo yashuhudia kwenye nchi za wenzetu.
 
Big up kwao, ila wasisahau kuandika kwenye vitabu ujuzi wote waliotumia hadi kufikia hatua hiyo, ili siku ya test ikitokea imefeli basi watakaobaki waendelee pale walipoishia leo. Hata ulaya aliyegundua ndege alipoirusha tu kwa mara ya kwanza ilidondoka na akafa, lakini sa hivi duniani kuna ndege zaidi ya milioni zinazoruka kwa siku.
 
Arusha will set history as the first region to fly the first ever Tanzanian manufactured helicopter
 
Ni hatua nzuri sana yenye kustahili pongezi. Haya ndio maendeleo tunayoyataka.
 
kwa kweli ni mambo ya kupongezwa
 
Hongera Sana serikali yangu mwanzo mzuri huu
 
Watengeneze na boats sisi huku pwani tunahitaji. Big up kwa wataalam wetu
 
yaani badala kutengeneza toothstick zitakazozalisha mamia ya ajira wanawaza helikopter
 
i think the title should have been crafted in this manner:
TANZANIA has started assembling its own helicopters
kwa kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya building na making of the machinery kama helicopters and the like

Mkuu usifikirie ni ngumu kiasi hicho unachodhani wewe,najua kwa akili zako unakuwa unawaza engine ilipotokea ndio maana neno assembly likakutoka,kwa kukusaidia ni kwamba Modern helicopter engines are turbine rather than piston type and are purchased from an engine supplier. The helicopter manufacturer may purchase or produce the transmission assembly, which transfers power to the rotor assembly. Transmission cases are made of aluminum or magnesium alloy.in this case we have choosen to purchase and not to produce an engine na hiyo haimaanishi kwamba hatujaitengeneza sisi.

kuna stage nyingi za muhimu katika kutengeneza helicopter ambazo mtengenezaji lazma azipitie ili aw ndiye aliyetengeneza hiyo helicopter na ndicho tulichokifanya kuanzia Airframe Preparing and the tubing design,Forming sheet metal details,Making the cores of composite components,Making the fuselage,Specify the engine, transmission and rotors,design and install Systems and controls,na Final assembly.

Hata hivyo kama ulikuwa haujui ni kwamba Rolls Royce ndio mtengenezaji na designer wa engines za Airbus and Boeing lakini haimaanishi kuwa RR ndio watengenezaji wa Airbus au Boeing.
 
Maendeleo na hongera sana. Itatia fora zaidi ikiwa Chopper ya kwanza itazinduliwa kwa kuruka nayo na kiongozi wetu mpendwa HAPA KAZI TU
 
safi sana sasa mtengenezeeni mzee nanii imsaidie amalizie kuzunguka dunia nzima sehem ambazo bado hajafika
 
Ndio, Mwanza kulikuwa na kampuni ya mtu binafsi iitwayo Songora Marines iliyojishughulisha kutengeneza mashua - siyo meli- ingawa uwezo wa kuunda meli walikuwa nao. Kwa jinsi nchi hii inavyothamini vya nje na kudharau vyetu, Songora Marines hawakupanuka sana na sasa sijui kama wapo au walishajifia mbali.

Sijui kama hao ma-engineer wa arusha watafika mbali, watavunjwa moyo kwenye hatua fulani ya mradi wao.Tatizo kubwa ni vya kwetu havina 10%. Rejea transformer za Tanalec na TANESCO kununua transformer india.
 
Mimi naomba kama kuna mtu anajipenda asipande hiyo helcopter.
Wairushe kwanza bila rubani.
Halafu futi 400 ni kama urefu wa uwanja wa mpira na kidogo, labda itakuwa ya kuchungia ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…