Tanzania has highest inflation rate in East Africa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania has highest inflation rate in East Africa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, May 17, 2010.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  Haya wana JF, Tanzania sasa inasifika kwa kuwa na mfumuko wa bei (inflation) wa juu kuliko nchi zote za Afrika Mashariki. Inflation ya April imeongezeka tena baada ya kushuka hivi karibuni from double digit. Hata nchi ndogo kama Rwanda (2% inflation) itushinde? Nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. Tumekosa nini kati ya hivyo?
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Vyote tunavyo kasoro UONGOZI BORA........................
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  siku zote huwa inakuwa hivyohivyo..sijui tutajikomboa lini na umkiani huu...
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  May 17, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Duu!
   
 5. G

  Godwine JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  tunahitaji gavana wa bot atoe maelezo zaidi kuhusu mfumuko wa bei na nini atafanya kuupunguza
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huyu Gavana aliingia kwa kelele kweli ofisini nikadhani tutapunguza gap tulilokuwa nalo na jirani zetu kumbe ndo tunazidi kurudi nyuma. Rwanda kila kukicha ni mabomu tu but bado wako juu dunia nzima. Kazi tunayo!
   
 7. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hatuna an independent central bank explicitly charged with inflation targeting hivyo governor hayuko obligated kujieleza for missing the target set (wait a minute kwanza hakuna a set target ni just some random figures we aspire and/or hope to reach).

  Pili these news should be a serious cause for concern especially when you consider that they have already tweaked the basket of goods used to calculate inflation to give them a more favourable price index. I believe they have already lowered the food weight by ten percentage points in comparison to last year's basket. Mmh, the plot thickens
   
 8. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi, ni kwa nini bei zetu za mafuta, nyumba (rent), magari etc havipungui bei even if duniani kote kuna financial crisis? Bei za mafuta duniani, by the barrel, ilishuka sana to approximately $60 - I think now its in the $90 dollar range - lakini hapa kwetu bei per lita zinaongezeka!

  So to the housing situation kwa walio bongo - wenye nyumba wanashikilia mabei ya ajabu ajabu, wateja hawapo, na matokeo yake nyumba nyingi ambazo zingeweza kupangishwa kwa mfano laki 5 au 6 zipo tupu kwani mwenye nyumba anashikilia palepale kwenye milioni moja!! Vilevile, nyumba ambayo ineweza kuuzwa kwa milioni 80 sasa inauza milioni 200 or very close to that! (Nimedokezwa eti ni kwa sababu ya EPA ndio iliyoinflate prices ya vitu vingi........lakini walikuwa wangapi hao wa EPA????)

  Gari kwa mfano wa Toyota Mark II, GX 100 inauzwa mpaka milioni 12 wakati the same car I believe the price is maybe close to 5-7 milion!!

  How does this come-come???
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tunayo Ardhi tu.

  --->Hatuna siasa safi.
  ---->Hatuna Watu (I mean we do not have effective workforce both from private to public sector)
  ---->Hatuna uongozi not even uongozi safi

  Msemo wa Nyerere una-hold... we only have land.
   
 10. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  Hizo ni solution za kisanii mkuu!!! dawa ya kuondoa inflations... ni kuzalisha chakula kwa wengi.... period.
   
Loading...