Tanzania has Africa's largest rare earth reserves with 890,000 tonnes

Tanzania has Africa's largest rare earth reserves with 890,000 tonnes

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,905
Reaction score
14,669
1764492421263.png
Kwa mujibu wa Africa Minerals Development Centre (AMDC), nchi kuu za Afrika zilizohusika katika uzalishaji wa madini adimu (rare earth minerals) mwaka 2021 ni Madagascar, Burundi, Afrika Kusini na Tanzania.

Afrika Kusini na Tanzania kwa pamoja zilichangia takribani tani milioni 1.6 za hazina ya madini adimu duniani, sawa na asilimia 2% ya jumla ya hazina ya dunia.

Nchi tano zilizoongoza kwa kuwa na hazina kubwa zaidi ya madini adimu mwaka 2021 ni:
  • China – 34%
  • Vietnam – 17%
  • Brazil – 16%
  • Urusi – 16%
  • India – 5%
Screenshot 2025-11-30 114308.png
 
Imesaidia nini kuwa na Tanzanite, dhahabu, Almasi na gesi??
Nini cha ajabu tumeweza kufanya kwa uchimbaji zaidi ya miaka 40 wa hayo madini??
 
Imesaidia nini kuwa na Tanzanite, dhahabu, Almasi na gesi??
Nini cha ajabu tumeweza kufanya kwa uchimbaji zaidi ya miaka 40 wa hayo madini??
Ulitaka upewe ela ama ulitaka nn
 
Imesaidia nini kuwa na Tanzanite, dhahabu, Almasi na gesi??
Nini cha ajabu tumeweza kufanya kwa uchimbaji zaidi ya miaka 40 wa hayo madini??
Acha kushinda mitandaoni fanya kazi
 
Source?

It's South Africa and Tanzania....atleast South Africa is doing something ...you can see progress here and there...then comes my Motherland....only arrogant and hypocritical politicians may be....
Mining hasnt started
 
na yote yatakuwa mali ya muirani kama makaa ya mawe kama tusipopambana mpaka mwisho hadi hii regime iondoke …
 
sitaki muirani ayakwapue kama makaa ya mawe, napenda yanufaishe watanzania …
Sasa si ndo maaana.miradi inajengwa wewe unataka kujustify kwamba maisha yako binafasi yanahusiana na viongozi?
 
Back
Top Bottom