Tanzania hakuna walimu wa Sayansi

Tanzania hakuna walimu wa Sayansi

Nimekuwa kwenye tasnia hii ya elimu kwa takribani miaka 11 sasa. Katika kipindi chote nimeweza kuwakwenye taasisi saba za elimu katika ngazi mbalimbali. Kwenye taasisi zote kumekuwa na walimu wanaojinasibisha kuwa wanafundisha sayansi, ila tukirudi kwenye uhalisia ni kuwa hawafundishi sayansi bali wanafundisha HISTORIA YA SAYANSI.....
 
Unapokua na uelewa mdogo huwez ona umaana walm wa sayansi, ushawah jiulza swali dogo Kama hili "madakri waliopo mahospital wamesoma sayans ipi, na wamefundshwa kwa principle zp? " fkria kmapana uckurukupe.
 
We nawe hujitambui wanafundisha kwa kutumia mitaala ambayo ndiyo miongozo yao.We ulitaka wafanye nini?

Mitaala ya historia ya sayansi! Hebu angalia hata hivyo vitu ambavyo watanzania wanatengeza kwa kutumia ubunifu wao. Utakuta vifaa vingi sii vya kutengezwa Tanzania bali ni vya nchi za nje. Kwa mfano utasikia Mtanzania ametengeza drone au sjui mashine frani ukisikia tu hivyo fanya uchunguzi utabaini tu haya ninayokuambia. Kwa hiyo ni dhahiri kwamba watoto wetu huko mashuleni wanafundishwa historia ya sayansi.
 
Huwa tunafundishwa Basics za Sayansi na hakuna mwanasayansi yoyote asiyezisoma na labda kuna mambo huyajui kuwa hata hizo drones na machine nyingine unazoshangaa mbunifu ni Albert Einstein na theory na basics zake ziko kwenye mitaala...
 
Back
Top Bottom