Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,931
- 2,115
Nimekuwa kwenye tasnia hii ya elimu kwa takribani miaka 11 sasa. Katika kipindi chote nimeweza kuwakwenye taasisi saba za elimu katika ngazi mbalimbali. Kwenye taasisi zote kumekuwa na walimu wanaojinasibisha kuwa wanafundisha sayansi, ila tukirudi kwenye uhalisia ni kuwa hawafundishi sayansi bali wanafundisha HISTORIA YA SAYANSI.....