Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Mpango wa Ubia wa Uwazi Serikalini (Open Government Programe – OGP) ambao unahimizwa kimataifa ni muhimu kwa sababu ndio unaoweza kuweka wazi mikataba pamoja na shughuli zote za mafuta na gesi asilia zinazofanyika nchini Tanzania.
Tanzania inaunga mkono Mkakati wa Uwazi katika Shughuli za Uchimbaji Rasilimali (EITI), ambao unahimazi uwazi katika shughuli hizo, iwe kwa serikali yenyewe au kwa wawekezaji wanaojihusisha na utafiti, uchimbaji na usambazaji wa gesi na mafuta.
Soma zaidi hapa=> Tanzania haipaswi kuvunja masharti ya EITI kuhusu uwazi katika uchimbaji mafuta, gesi | Fikra Pevu