Tanzania haina Dini, watu wake wana Dini Je sheriazinazo tawala hazina Dini?

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Falsafa ya kuwa Tanzania haina Dini isipokuwa watu wake ndio wana dini ni marashi na pambo la lugha ya kiini macho. Pengine kama hili litakuwa limewahi kuwasilishwa hapa lakini mtizamo huu pengine utafatautiana kidogo.

Kwa vile sheria zinaonekana dhahir shahir, kuegemea upande na kupendelea dini fulani, dhidi ya dini nyengine nawasiokuwa na dini, napendekeza kuwepo na mifumo ya sheria itakayojitegemea na kutumiwa na wafuasi wao, ili mradi tu hazitakinzana( repugnant to law) na sheria mama.
Kwa hivyo kutakuwa na Sheria
1. itakayowahusu wakiristo na itakayotumiwa na jamii hiyo
2. itakayowahusu waislamu na itakayotumiwa na jamii hiyo
3.Sheria za jadi customary law) itakayotumiwa na wengine wasiokuwa na dini rasmi

Hivi itaondosha adha na fadhaa wanayopata jamii fulani nakufurahiwa au kuchukizwa na jamii nyengine. Venginevyo tutakuwa tunajidanganya bure.
 
C r a p, big time!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom