“Tanzania governor” Makonda on CNN for all the wrong reasons

Wamezingua.

Wanajua fika Makonda ni RC.

Referring to him as a governor adds unnecessary confusion.

And the idea that they did so to better relate the RC position to their audience with respect to USA governors is even more misleading, considering the disparity between the two.
 
Ndiyo, kazi yake.

Labda huelewi kuwa moja ya kazi yake ni ustawi wa jamii inayomzunguka.

Wazo lake ni jema na hiyo ni fursa kwa watu wa kuweka kumbukumbu mnaweza kuweka hata "database" mbadala na watu wa IT wakaitengenezea apps zake mtu akitaja information anaingia tu kwenye app.

Wazo zuri, utekelezaji wake ndiyo unahitaji watu wachemshe bongo. Inawezekana.
Dah!

Dunia nzima inapush for privacy ya taarifabinafsi za watu, ila wewe unataka taarifa za watu wote ziwe wazi kwa yeyote kuzipata!

Yani nipende nisipende, mtu akiingiza jina amjue mke wangu.

Dah.

Hiki ni kituko.
 
Dah!

Dunia nzima inapush for privacy ya taarifabinafsi za watu, ila wewe unataka taarifa za watu wote ziwe wazi kwa yeyote kuzipata!

Yani nipende nisipende, mtu akiingiza jina amjue mke wangu.

Dah.

Hiki ni kituko.
Tanzania siyo dunia nzima.

Tanzania ni nchi isifungamana na yeyote yule. Tupo huru kufanya maamuzi yetu.
 
Tanzania siyo dunia nzima.

Tanzania ni nchi isifungamana na yeyote yule. Tupo huru kufanya maamuzi yetu.

Ya kutoheshimu faragha ya taarifa binafsi za wananchi.

Where do you draw the line?

Tutaweka na database ya kuonyesha magonjwa ya watu? Salio la akaunti zao benki?
 
Africans use states and counties too.

They have states in Nigeria. They have counties in Kenya.

In both of those countries, they have governors.

The only governor we have in Tanzania is the Governor of the Bank of Tanzania.

Paul Makonda is not a governor.

If you say he is, then show me his official title.
I understand u very well
 
Look what we have here! So Paul Makonda is now a governor? Wtf!!!

How CNN has fallen! Once upon a time it used to be a respectable news organization. But that’s once upon a time.

Now they are just an anti-Trump left-wing, fake news pushing, low-rating cable network subsidiary organization of the Democratic party.

They can’t even get a simple basic fact like Paul Makonda’s title right! Isn’t that fake news????

What would ‘Fredo’ Chris Cuomo say about this? 🤣🤣

Fella! You should have explored the ignorance within the US-American society. To them, Africa is Africa. Bombings in Dar es Salaam and Nairobi were bombing in Africa! Why get surprised of this? By the way, is the RC, DC, and the President not the Governors?
 
Duh....waafirika bado tunajadili kiingereza cha CNN tu! "Rais" mwenyewe wa Dar es Salaam katulia zake tuli.
 
Back
Top Bottom