Tanzania for Sale

Msema hovyo

Senior Member
Jul 3, 2011
195
86
After the President of the United Republic of Tanzania, his Excellence Jakaya Mrisho Kikwete failing to execute power in his highness, we hereby announce an open auction which will be held in Dar es salaam to sale the president's office and the country as whole. The items that will be sold in the auction includes Ikulu and some ministries particularly the ministry of Energy and Minerals. Interested companies and individuals are asked to send an application through email indicating the items are interested on and statement of commitment to buy in case they win. to fill up a form that indicate the item are interested of and the maximum offer they have.
All applications should be addressed to msemahovyo@jamiiforums.com
You are warmly welcome.
 
Lakini yule mwanamuziki kwa jina Mmasai alishawahi kuimba akasema nchii hii bora iuzwe kila mtu achukue chake akatafute pa kuishi. Mmasai aliona mbali sana.
 
Lakini yule mwanamuziki kwa jina Mmasai alishawahi kuimba akasema nchii hii bora iuzwe kila mtu achukue chake akatafute pa kuishi. Mmasai aliona mbali sana.
Duh, aisee sijawahi kuisikia hiyo. Ningemskia ningeomba anisaidie kufanya mnada
 
Baada ya hapo na wewe unaenda wapi unaondoka nao au vipi
Hehehee, inauzwa nchi pamoja na watu wake? Kwa hiyo mimi ninabaki ndani ya nchi yenye watawala wapya, watakaotusaidia kufaidi asali na maziwa ya nchi yetu
 
Tusha uzwa longtime na mgao kwa wa TZ uanaendelea mzunguko wa kwanza ulisha pita kwa wa TZ wote ambao ulikuwa NETI kama hukupata subiri mzunguko wa pili ambao utakuwa wa mwisho cjui tutapewa nn!!!???
 
Tusha uzwa longtime na mgao kwa wa TZ uanaendelea mzunguko wa kwanza ulisha pita kwa wa TZ wote ambao ulikuwa NETI kama hukupata subiri mzunguko wa pili ambao utakuwa wa mwisho cjui tutapewa nn!!!???
hahahaa, basi naona kimojakimoja kishaanza kupata mteja. Lakini afadhari tu tuwe na urais wa kuwekeza kuliko rais wa kuchagua halafu anakuwa mzigo kwa watanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom