B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Habarini viongozi!
Kuna jambo nimekuwa nashindwa kabisa kuelewa kabisa. Kwa miaka ya hivi karibuni naona kama watoto wa siku hizi let say kutoka darasa la saba kwenda sekondari imekuwa easy sana compared na zamani darasa la nne sidhani kama bado kuna mtihani pale.
Sekondari pia vile vile form 4 nayo wanao pass ni wengi, Graduants vyuo vikuu nao ni wengi vile vile, je elimu inapanda au inashuka?