Kama silabuse za TZ zisipo hakikiwa bado mtegemee maisha kuendelea kuwa magumu lecture anafundisha masaa manne darasan anacho kifundisha hakin reality na maisha nje ya darasa mifano mingi ya ulaya aah i never go ulaya bhana am a poor Tanzanian ili twende sambamaba mifano ya kipindi itoke nchini mwangu
Nna hasira alfu nawasilisha
Nna hasira alfu nawasilisha