Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF
Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF
Best question to ask your ass
soma jiografia ya nchi, hasa kwa maeneo wagombea wanawika zaidi...! kila mmoja an uwanja wake mkuu...! sasa majimbo yapi yameshatajwa hadi sasa?Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF
Wewe kada wa CCM toka hapa, unadhani kama si uchakachuaji, ccm ingepumua? Mmechakachua kura kwa kutoa Tsh.100,000 kwa kila mtu anayeipigia CCM huko Bukoba bado Kikwete amelazwa chari umeambulia Ubunge tu. Hata kama mtashinda ni kwa uchakachuaji, tumestudy mbinu zenu, 2015 tutawazika kusikojulikana! Msaliti mkubwa wewe! Hufai hata kuitwa mtanzania!
Hard to believe this.....There is Cooking and Cookery.....This is COOKERY...........
hizo ni mbinu za CCM waonyeshe kuwa wanakubalika na wakija kwenye maeneo waliyochakachua na watu wakiyapinga matokeo waonekane wana fujo, mbona arusha, mwanza, ubungo, kawe ni mjini kabisa na kila kitu kiko tayari mbona hawatangazi?
Tume ya Uchaguzi itaanza kuangaza matokeo rasmi ya kura (Uraisi & Ubunge) zilizo HAKIKIWA kwa nchi nzima...
Tatizo hapa JF watu wengi wanafanya ushabiki badala ya kutumia takwimu na hizo data ziwe zimethibitishwa. Kata mbili au tatu zikiwa upinzani katika kata 16 tayari utaona imeandikwa kuwa ushindi katika jimbo na urais, wakati mwingine ni 'redio mbao' lakini comments zitakuwa page hata kumi za kushabikia.Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF
Longido --- Mziray - 157, Kikwete - 17066, Slaa - 2702, Lipumba - 114, Kirungwe - 10, TLP - 4, UPDP - 7 haribika 344
Chilonwa - APPT - 319, CCM - 19780, Chadema- 2439, CUF - 179, NSSR - 25, TLP - 18, UPDP - 18
Mpanda Vijijini - APPT - 128, CCM- 7817, Chadema - 3669, CUF - 378, NSSR - 26, TLP - 17, UPDP - 13
Siha - APPT 241, CCM - 15570, Chadema - 7226, CUF - 83, NSSR - 18, TLP - 11, UPDP - 14
Kwa matokeo hayo JK amezidi kuendelea kupeta..ila badoooooo....huku ni kule kule tunakosema tulijua itakua hivyo...