Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,301
- 33,920
Jamaa anajiamini sana!!
Nakubaliana na wewe mkuu, kama TEF wanatuambia kuwa wamepewa taarifa, hayo ni maagizo kutoka juu, kwanini wanashinikiza wale waliopewa maagizo wamwachie Melo! Kama kweli wanaumizwa na matendo ya polisi wanahabari wasusie kuandika habari zinazohusu polisi ili aliyeko juu ajitokeze!Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri anaandika kwa unyenyekevu na kulialia hivi..! Anazidiwa hata na mzee mwanakijiji aliyeandika kwa kushinikiza..!!
Halafu anamuomba Rais aingilie kati lkn wakati huo huo kaandika kuna taarifa kwamba police wanatekeleza maagizo kutoka juu. Huko juu mwenyekiti wa jukwaa la wahariri anapajua ni wapi!!?
Wahariri shinikizeni police wamuachie mex mello na wakikataa hakuna kuandika habari wala kutangaza habari zao..!!
Niulizie anazo million7?ujamsoma mkuu anamanisha jinsi yakuanzisha uzi
IngiaHodi