Ndiyo kama hivi ulivyoipost ipo hewani sasa.Jamani naomba mnisaidie jinsi ya kupost Habari ili iwe hewan na watu waione kwa ajili ya kuchangia na kutoa maoni.
Ndiyo kama hivi ulivyoipost ipo hewani sasa.Jamani naomba mnisaidie jinsi ya kupost Habari ili iwe hewan na watu waione kwa ajili ya kuchangia na kutoa maoni.
Juu kunani? Hawa ndio wanasiasa wetu.Huko juu ni wapi?!!!
HodiNdiyo kama hivi ulivyoipost ipo hewani sasa.
Picha ya maxence plzz
MalaikaHuyo wa huko juu anayesemwa ni nani? Mbona huwa anatoa sana maelekezo??
Kwa malaikaHayo maelekezo kutoka juu yanatoka wap?
ujamsoma mkuu anamanisha jinsi yakuanzisha uziNdiyo kama hivi ulivyoipost ipo hewani sasa.