Tanzania driving license

Nilipokuwa napeleka Machungwa hapo Nairobi nilikuwa naruhusiwa kuitumia, pia miaka ya nyuma kidogo wakati naenda Congo na tank ilikuwa nikifika kule nilikuwa nazunguka na gari ndogo mtaani na haina shida, Nakumbuka hata nilipoenda kumsalimia rafiki yangu Malick London niliitumia ila kule ilitakiwa nitumie ndani ya mwaka tu.
 
Lesen yetu inatumika kwenye nchi za chini ya jangwa la sahara, ndizo nchi zilizokubaliana kitumia alama za barabaran zilizo sawa na sheria nyingi zinaendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…