Tanzania doctor strike escalates on torture claims

Siasa na taaluma havitakiwi kuchanganywa ni hatari sana wanachokifanya madr wetu.
Serikali ndo inaleta element ya siasa kwenye profession.
Doctors hawana hata chembe ya siasa.
Hizo ni hisia za serikali dhaifu.
Itimize basi madai hayo kama madokta wataendelea kugoma.
 
serikali inalalamika kuwa mgomo unakuwa geared na chadema.
Ni maswali ambayo Ulimboka ameulizwa countless times wakati akipondwa na watu walipewa dhamana ya kulinda amani na usalama wetu,
This is high time serkali ipige moto au ifyeke msitu wa mabwepande, watu mazingir na waseme
 
Dalili ya alichokisema mnyika juu ya udhaifu wa serkali ndo haya ya liwalo na liwe ya pinda na baba mwanaasha
 
Mkuu wangu tusidanganyane..Mimi Mbongo kuliko hata hao Madaktari na naingia vichwani mwao. Wakipewa hata millioni 3 bila ongezeko la vifaa wala mazingira bora watarudi kazini kama kazi lakini wapewe vifaa na kuboresha mazingira bila mishahara hawatarudi kazini.. It's all Crystal clear kinachogombewa hapa ni mshahara mkubwa tu, Haya maswala ya sijui Hospital hazina hata Panadol wakati zinazouzwa Phamacy hayahusiani kabisa na mgomo.

Madaktari walianza vibaya na sii rahisi kunishawishi mtu kama mimi. Walichotakiwa ni kuishambulia Bajeti wakaonyesha udhaifu wa utawala uliopo na jinsi gani mgao wa bajeti ya Afya ilivyokuwa hafifu, uwekezaji hafifu na matumizi ktk maswala yasiyokuwa na maana. Wakawaonyesha wananchi jinsi gani wanashindwa kufanya kazi, kutibu watu na kadhalika kiasi kwamba wananchi wajenge hisia za kuungana nao ktk madai ya mbeleni. Toka mwanzo swala hili lilikuwa political they should involve vyama vya Upinzani na asasi za haki za binadamu, Tucta na kadhalika.

Wala wasizungumzie mishahara yao iongezwe kiasi gani isipokuwa wapige vita ongezeko la mishahara ya Wabunge, viongozi nawanasiasa wanavyojitanua na kadhalika.. Hapo wangeilazimisha serikali kupanua bajeti ya Afya, wakisha weka fungu mkononi hapo ndipo mishahara itakapo tazamwa ipande lakini sii upandishe mishahara toka bajeti ndogo ambayo haiwezi hata kukidhi mahitaji muhimu. And for that itakuwa tu vita baina ya madaktari na serikali maana tunajua kinachowauma zaidi Madaktari ni ushenzi wa wabunge kujiongezea mishahara wakati wanaenda kupiga domotindi Dodoma - Shame to all of You!

Mkandara,

Ndio maana mie sikuwaunga mkono madaktari from the beginning kwani nafahamu kiundani shida kubwa hapa ni madai ya kuwa walipwe mshahara mkubwa. Wamejisahau kuwa wakilipwa mshahara mkubwa na MANESI NAO WATADAI MSHAHARA MKUBWA!!!, Macleaner nao watadai mshahara mkubwa, zitaingia sekta nyengine kama umeme maengineer nao watadai mshahara mkubwa, mapolisi, walimu wahasibu nk.

Wapuuzi hawa wanajiona wao ni watu muhimu sana katika uchumi simple tu wanaona wivu wabunge walivyojiongezea mishahara (jambo ambalo siwaungi pia wabunge kujiongezea mshahara kwani nadhani wapunguziwe hasa mshahara kwani silioni lolote la maana wanalolifanya huko bungeni). Ila kwa madaktari siwaungi mkono kudai kuongezewa mshahara kwani lina hasara katika uchumi wa Tanzania kuliko wanavyofikiri. Labda watujibu maswali haya:-
a. Je wanajua athari za kuongezewa mshahara kuwa linaongeza mzigo kwa sisi walipa kodi kwa lipi linalopatikana kutoka kwao??? Huduma zenyewe mbovu za afya hapa nchini kila siku watu wanapelekwa india?

b. Je wanajua kuwa wakiongezewa mshahara kutachangia kuongezeka mfumuko wa bei Tanzania ambapo kwa sasa hivi tu ni asilimia 18 tunalia na kusaga meno!!!!!

c. Je wakiboreshewa vifaa vya afya na marupurupu watarudi kazini badala ya kuongezewa mshahara?

Binafsi ushauri wangu wa bure kwa serikali unabakia ule ule SERIKALI IJITOE KATIKA KUHUDUMIA HOSPITALI NA KUWAACHIA WAJIENDESHE KIBIASHARA. BADALA YAKE IHUDUMIE WATU WASIOJIWEZA KWA KUTOA MATIBABU BURE HALAFU TUONE HII JEURI YA MADAKTARI ITATOKA WAPI!!!!
 
!
Suppose kama unavodhani wakalipwa mishahara mikubwa.
watazuia manesi, macleaner, walimu kaudai haki zao wakiona ujira wao na kazi zao haziwiani?
Kimsingi kila mtu ana haki ya kudai kile anchoona kinamstahili, mwinggine hazuiwi kudai haki kisa huyu keshadai.
Achana na hilo;
Serkali hata hiyo mishahara imeongeza ili kuwatega madokta?
How did they reacted?
Kill Ulimboka!
Outragous!
 
Arrogance, stupidity and anger distract human intelligence hebu nisome vizuri halafu unaposema kila mtu ana haki ya kudai haki yake nikuulize wewe madaktari bila ya manesi wanaweza kazi???? Madaktari bila ya maji na umeme kazi itafanyika???? Unadhani hii nchi inaongozwa na madaktari tu hebu tuondolee upuuzi wako hapa!
 
it is you who's stupid,
Haijalishi una nafasi nzuri ya kutumia kodi za watanzania.
Hayo maswali uliyoyauliza kama ungekuwa na jibu kuwa Kikwete anaweza kuwa Rais bila wananchi usingeuliza.
Kwanini ajilimbikizie hazina ya nchi hali wanabnchi anawaongoza ni maskini?
 
Sijakuita stupid ila nimekutahadharisha kuwa hasira, ujinga na ujeuri vinapoteza akili ya mtu. Hivyo hebu tafakari vizuri nachokisema utakiona kina mantiki. Ila bado hujajibu maswali yangu je hii nchi inaendeshwa na madaktari???? Wepi hawa wasio na uchungu wanaacha watu wanakufa hovyo mahospitali??? au huna hoja ya msingi ya kunishawishi. I wish ningelikuwa katika meza ya majadiliano ushauri wangu kwa Pinda ni huu SERIKALI IJITOE KATIKA KUHUDUMIA HOSPITALI BALI IJIKITE KUHUDUMIA WALIPA KODI TENA WASIOJIWEZA !!!!! HII BIASHARA YA KUHUDUMIA HIZI HOSPITALI NDIO TUMEFIKA HAPA INAHITAJI KUFIKIA TAMATI! ADIOS!!!!
 
Mkandara;
Unataka kusema hawa madaktari hawastshili kulipwa shs.3.5m? Hebu fanya linganisho karani wa TRA analipwa kiasi hii ni haki yao kimsingi wanastahili hasa ukiangalia umuhimu wa taaluma yao, najua utasema udaktari ni wito kumbuka kuwa mwanasiasa ni wito mbona wao wanalipana 10m na walijiongezea bila mizengwe yeyote ile.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mkandara,

Ndio maana mie sikuwaunga mkono madaktari from the beginning kwani nafahamu kiundani shida kubwa hapa ni madai ya kuwa walipwe mshahara mkubwa. Wamejisahau kuwa wakilipwa mshahara mkubwa na MANESI NAO WATADAI MSHAHARA MKUBWA!!!,
wewe ndo bogus kabisa! kelele tu na kujaza server na ****! matatizo yote haya ya migomo na ughali wa maisha unatokana na UDHAIFU wa hawa majambazi wanadai wanatuongoza. serikali inaongozwa na watu vimeo yaani 'junks' ambao hawaelewi wafanye nini kuwakomboa watz. madr wao wamekuwa na guts za kusema nini wanataka, siyo kwamba sections zingine zimeridhika, uoga tu ndo unawafanya hivyo. kama unaitetea serikali isiyowajibika, serikali ya hovyo, basi nawe ni mtu hovyo, yaani useless!

mie ndo CAPITAL bhana.
 
Kwahivyo mgomo huu wa madaktari ni kukomboa wananchi kutokana na na serikali isiyowajibika kwa mujibu wa maelezo yako. Sasa hao madaktari ni wanasiasa au matabibu? Kumbe nia ya mgomo huu ni kutaka kuchochea machafuko sio? Basi nia yenu mtaungwa mkono na chama chenu wengine sisi hatutakaa kamwe kuwaunga mkono hadi mje na mpango unaoleweka maana huu ni UNAFIKI MTUPU!!!!
 
Mkandara;
Unataka kusema hawa madaktari hawastshili kulipwa shs.3.5m? Hebu fanya linganisho karani wa TRA analipwa kiasi hii ni haki yao kimsingi wanastahili hasa ukiangalia umuhimu wa taaluma yao, najua utasema udaktari ni wito kumbuka kuwa mwanasiasa ni wito mbona wao wanalipana 10m na walijiongezea bila mizengwe yeyote ile.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Hoja kama hizi zinajibiwa kuwa oohhh msiringanishe taaluma na mgawanyo wa jamii....

Yaani tumechagua kuwa jamii ya kipuuzi kupita maelezo kwa kuamini katika mazoea ya fikra zilizojifungia!!

Mi nitaiunga mkono serikali ikiamua kuyatelekeza madai ya drs katika eneo la maslahi yao na kuanza kwa maboresho ya vitendea kazi kwa maana ya miundo mbinu ya afya, vifaa, majengo na madawa...

Kama baada ya hayo drs wakiendelea na mgomo sitawaunga mkono ila nje ya hapo ni upuuzi kuiunga mkono serikali hii kijinga kuata kutokea duniani......

Ntaendelea kuwaunga mkono drs mpaka hatima ya sekta ya afya!
 
Mkandara,

Ndio maana mie sikuwaunga mkono madaktari from the beginning kwani nafahamu kiundani shida kubwa hapa ni madai ya kuwa walipwe mshahara mkubwa. Wamejisahau kuwa wakilipwa mshahara mkubwa na MANESI NAO WATADAI MSHAHARA MKUBWA!!!, Macleaner nao watadai mshahara mkubwa, zitaingia sekta nyengine kama umeme maengineer nao watadai mshahara mkubwa, mapolisi, walimu wahasibu nk.

Wapuuzi hawa wanajiona wao ni watu muhimu sana katika uchumi simple tu wanaona wivu wabunge walivyojiongezea mishahara (jambo ambalo siwaungi pia wabunge kujiongezea mshahara kwani nadhani wapunguziwe hasa mshahara kwani silioni lolote la maana wanalolifanya huko bungeni). Ila kwa madaktari siwaungi mkono kudai kuongezewa mshahara kwani lina hasara katika uchumi wa Tanzania kuliko wanavyofikiri. Labda watujibu maswali haya:-
a. Je wanajua athari za kuongezewa mshahara kuwa linaongeza mzigo kwa sisi walipa kodi kwa lipi linalopatikana kutoka kwao??? Huduma zenyewe mbovu za afya hapa nchini kila siku watu wanapelekwa india?

b. Je wanajua kuwa wakiongezewa mshahara kutachangia kuongezeka mfumuko wa bei Tanzania ambapo kwa sasa hivi tu ni asilimia 18 tunalia na kusaga meno!!!!!

c. Je wakiboreshewa vifaa vya afya na marupurupu watarudi kazini badala ya kuongezewa mshahara?

Binafsi ushauri wangu wa bure kwa serikali unabakia ule ule SERIKALI IJITOE KATIKA KUHUDUMIA HOSPITALI NA KUWAACHIA WAJIENDESHE KIBIASHARA. BADALA YAKE IHUDUMIE WATU WASIOJIWEZA KWA KUTOA MATIBABU BURE HALAFU TUONE HII JEURI YA MADAKTARI ITATOKA WAPI!!!!

Kama madaktari sio watu wa muhimu acha kutokwa povu kakojoe ukalale.
 
Mkandara;
Unataka kusema hawa madaktari hawastshili kulipwa shs.3.5m? Hebu fanya linganisho karani wa TRA analipwa kiasi hii ni haki yao kimsingi wanastahili hasa ukiangalia umuhimu wa taaluma yao, najua utasema udaktari ni wito kumbuka kuwa mwanasiasa ni wito mbona wao wanalipana 10m na walijiongezea bila mizengwe yeyote ile.

Chama
Gongo la Mboto DSM
Inasikitisha sana napowasoma wasomi wangu wa JF mnauliza maswali kupindisha hoja. Sijasema madaktari hawafai kupewa Millioni 3.5 hata kidogo tena naweza sema pengine hata hizo ni pungufu lakini njia waliyotumia kuweka madai yao ndio mbovu, dhaifu kifupi PR yao mbovu na kutokana na hali hiyo ndio nimeuliza kama wakipewa mshahara huo bila mambo mengine kutimia watarudi kazini au hapana?

Na kama hawa Madaktari wanagoma kwa sababu ya wabunge kuilipwa mil 10 acha kazi nenda kagonmbee Ubunge kwani daktari anazuiwa kugombea Ubunge?.. Kwa hali ya hili linchi majimbo yatafika hata 1000 kufikia 2050 chances za Ubunge, Udiwani, Umeya na Unaibu meya, na serikali za mitaa zitaongezeka by 20% or more. Maadam huko ndiko kwenye soko la ajira na malipo mazuri kwa nchi zote za Kiafrika na sii Tanzania peke yake basi malizeni mkataba wenu halafu jikateni muache Udaktari ingieni kwenye profession zinazolipa. The market determine the price!

Hii ya kulazimisha price kwa sababu ya Umuhimu wako ni sawa na Mkulima aaache kulima kwa sababu anapata mafao duni zaidi ya Mlanguzi au mwenye Restaurant. Hata nyuma ya kina Steve na I phone kuna kichaa au vichaa wasiopata usingizi wakitafuta mbinu za kuboresha simu hizi na hawapokei mshahara mkubwa ziadi ya board ya wakurugenzi wa Apple ambao wao wanalala tu maofisini. Kina sisi wabeba Box tunapokea mshahara mdogo kuliko wale makarani na wahasibu huko maofisini wakati sisi tukizima hizo mashine, hiyo kampuni haitazalisha kitu wala hao wa Ofisini hawatalipwa mishahara. Hii ndio dunia ya Ushindani mkuu wangu huwezi kulazimisha Umuhimu wako kwa kukomoa watu ili utambulike au uheshimike bali ni kazi yako wewe kuitafuta kazi inayolipa vema..

Swala la wabunge kulipwa mishahara mikubwa ni swala la kisiasa la lazima tulishughulikie kisiasa. Wananchi wote na Madaktari tuwaunge mkono vingozi wanaojitokeza na kupinga matumizi mabaya ya fedha za serikali. Hawa ndio watakao kuja rekebisha kila kitu huko mbeleni lakini mnapowavunja nguvu kisha mnarudi nyuma kuweka madai kama haya wakati jana tu ulimpinga Zitto au Mnyika inakuwa vigumu kwangu mimi Mkandara kukuelewa...

Mkuu wangu sikubaliani na muundo wa huduma za AFYA na ELIMU nchini!.. sikubaliani nao kabisa lakini hujanisikia nikiacha kuwaunga mkono Chadema japokuwa najua fika wao pia kama CCM wanaunga mkono kuwepo kwa Muafaka wa MoU. I total disagree with the Idea of churches running the game kutokana na WATU na MAZINGIRA, kwa sababu hairuhusiwi kikatiba na zaidi ya hapo lazima tukubali Udini nchini upo na unahitaji cheche moja tu ili moto wa udini usambae nchi nzima na hii MoU ndio kuvutia sigara akribu na pipa la gas..

Nimelisema sana hapa JF wewe unajua lakini kuna mtu ameniunga mkono ama kunisikia?..Viongozi wangu hawalioni hilo na pengine vyama vyote nchini hawalioni tatizo, hivyo sina budi kwenda na kilichopo siwezi kugoma, kususia ama kuanzisha vurugu kwa sababu serikali, bunge na hata mahakama hawachukulii maanani malalamiko yangu - Hivyo nime chill nakwenda na yale yanayokubalika na wengi nifanyeje walishindwa mitume leo mimi nije shindana na serikali?. Haya maamuzi ya mwisho kutafuta suluhu, hizi hasira za kina Uamsho kuchukua maamuzi magumu na sheria mkononi ndizo nisizokubaliana nazo - Mwisho..
 
Mkandara;
Nimekupata tatizo la madai ya madaktari halitokani MoU; wanapigania kuboreshwa kwa maslahi na huduma za afya, hotuba ya mh. Raisi Kikwete imeeleza wazi juhudi za serikali katika kufanikisha madai ya madaktari; mengi hatukuyajua mpaka baada ya hotuba Raisi, mimi nadhani viongozi wanaohusika na majadiliano walikuwa wanaonyeshana ubabe kuliko busara, kama Raisi angekuwa mstari wa mbele kupitia ofisi ya Raisi naamini huu mgogoro usingefikia hapa; imedhihirsha wazi mh. Pinda kazi hii ya usuluhishi imemshinda; inaonekana ndani ya mgomo huu kuna mashinikizo ya kisiasa; wapo wanasiasa wana agenda za siri suala linalipiganiwa si mil.3.5; mimi bado naunga mkono hoja zao ila ikiwa serikali inayafanyia kazi madai yao sababu ya kugoma ilikuwa ni nini? Namsubiri Dr. Mkopi aje na maelezo kama yapo; Mkandara sasa hivi nimeanza kuamini wanasisa wa upinzani wapo ndani ya sakata hili, hawa madaktari wanatumika kisiasa vuta subira utasikia mengi.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Inasikitisha sana napowasoma wasomi wangu wa JF mnauliza maswali kupindisha hoja. Sijasema madaktari hawafai kupewa Millioni 3.5 hata kidogo tena naweza sema pengine hata hizo ni pungufu lakini njia waliyotumia kuweka madai yao ndio mbovu, dhaifu kifupi PR yao mbovu na kutokana na hali hiyo ndio nimeuliza kama wakipewa mshahara huo bila mambo mengine kutimia watarudi kazini au hapana?

Na kama hawa Madaktari wanagoma kwa sababu ya wabunge kuilipwa mil 10 acha kazi nenda
 
Swali kwa Madaktari..
Mkipewa mshahara wa millioni 3.5 lakini bila vifaa vya kutendea kazi, na kuboreshwa mazingira mtarudi kazini au hamtarudi hadi yote yatimie?.

hahahaha! mkuu swali gumu hili.....
 
sikubaliani na wewe; daktari kwa mgonjwa anayekuja bila vifaa alivyoombwa kuja navyo hata katika kujifungua anachofanya ni kumshughulikia bila hizo gloves huku akijua kuna homa ya ini na UKIMWI: shida ndiyo hiyo, weka mazingira mtu akija kuna kila kitu hata mafao yakija baadae vitendea kazi vinawaruhusu kusema, kazi iko kama mahali pengine duniani. Hili la Ulimboka nenda kafanye CT scan imekufa; sasa daktari nafanyaje kazi. Au CT scan lipia laki na ishirini na MRI ni laki nne na themanini nani anamudu kiasi hicho. Acha ubinafsi! angalia Vifaa tiba na maana yake katika kutoa tiba stahilifu. Unadhani madaktari wamefanya kazi bila 1.2M toka mwaka 2005 hukuwakijua wanataka zaidi bila kufikiria? usiwarubuni watoto wa wenzio. Tuseme ukweli, tupate hivyo vifaa tiba alafu tuone niaje? Shida ni kwamba ni gharama kubwa kuviweka vinapostahili.
 
Back
Top Bottom