pgasper
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 311
- 70
Serikali ndo inaleta element ya siasa kwenye profession.Siasa na taaluma havitakiwi kuchanganywa ni hatari sana wanachokifanya madr wetu.
Doctors hawana hata chembe ya siasa.
Hizo ni hisia za serikali dhaifu.
Itimize basi madai hayo kama madokta wataendelea kugoma.