Arduino Sentinel
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 203
- 274
Kwa Wasiimba wote,
Kuna Slack workspace(Tanzania Developers) kwa ajili ya community yetu ya wasiimba/ma developer wa Kitanzania toka pande mbalimbali za dunia kwa majadiliano, kusaidiana, opensource projects initiatives zenye maadhi ya kutatua changamoto za jamii yetu, nafasi za kazi, na networking kiujumla.
Jiunge na slack group yetu via Tanzania Developers. Bure!
cc: Stefano Mtangoo