Tanzania , dawa ya ccm ni hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania , dawa ya ccm ni hii!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana-D'salaam, Jul 19, 2012.

 1. M

  Mwana-D'salaam Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..'' ukiona umevamiwa na mtu/kundi la watu kwa lengo la kukubaka, na umejitahidi kujikwamua kutoka mikononi mwao ili wasifanikishe zoezi lao nawe unahisi kushindwa,,, bac relax, ili maumivu ya kubakwa yasiwe makali, kwa sababu kuendelea kujitutumua kutakuongezea maumivu na bado utabakwa tu...''

  kuishambulia ccm katika utendaji wake ni dhahiri kwamba tunajitafutia maumivu makuu zaidi.. Wao ndio wababe na ukweli utabaki hivyo, cha msingi tukae na kujadili namna ya kusaidiana nao ili tuendeleze gurudumu letu mbele! ..

  Kwa mtazamo wangu mdogo, naona kwamba utendaji mbovu wa serikali iliyopo madarakani inaweza kuwa inachangiwa na namna ambavyo tunaipressure! Tunainyima hali ya kujiamini, ina-panic, matokeo yake maumivu yanarudi kwetu!

  Hebu tuipe ccm pumzi kidogo jamani..! Na hii ndiyo dawa stahiki...

  nawasilisha hoja
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tutaongeza pressure mpaka wapasuke. Hakuna kulala mpaka lieleweke. Kama ni hivyo wakoloni wangekuwepo mpaka leo.
   
 3. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Hoja dhaifu.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Waulize algeria libya egypt na sasa syria kama wanakaa tu kimya na kuacha serikali za kidikteta kuendelea kutawala
   
 5. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35


  hapo kwenye red color kunanishawishi nisichangie kituko hiki.
   
 6. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Umechoka kufikiri, tiba sharti iondoe tatizo sio kutuliza tu.
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  He has a point jamani, kinachoendelea syria na yale yaliyotokea Misri, Yemeni,Libya,na Tunisia ni matokeo ya pressure ya aina tunayowapa CCM. Kama kweli dhamira zetu zinatutuma katika kuhakikisha kwamba tunaiondoa ccm madarakani pasipo kumwaga damu nyingi (sababu damu zimeisha anza kumwagika tayari) sisi ndio tunalazimika kupunguza pressure ama sivyo hili tufe litapasuka na kutuelekeza kwenye njia wanayoendelea nayo syria.
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama kulipasua watalipasua wao kwa sababu hawako tayari kurekebishwa,wakati w a kukubaliana na wapinzani ndio huu sasa wao inavyoonekana bado hawako tayari kupoteza madaraka kwa njia yeyote ile.sasa kwa jinsi ninavyoijua afrika unaweza ukashangaa labda chama chochote kimeshinda ccm wakavuruga uchaguzi na kulazimisha matokeo halafu watu wakafa.wakishakufa ndo unashangaa wanaanzisha serikali ya mseto.kama kukubaliana wakubaliane sasa na sio kutuletea porojo hapa eti tupunguze presha kama umeshindwa unaacha.na kama umechoka kuishi si unajiua.
   
 9. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Umeleta hoja ya kishamba.
  Nyie ndio mtakaokosa posho pale Lumumba.
   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mawazo mgando haya. Nahisi wewe ni mdogo wa kingunge wewe. Hatuwaachii mwaka huu.
   
 11. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ya CCM ni M4C fullstop!tutagonga kila kona, kaka hao TISS na Jack Nzoka wao tunawaombea maisha marefu sana kunasiku watatusaidi kuhusu mambo flani flani ,hakuna kulala!
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  pamoja na wengine kukataa na kutolea nje hoja yako mimi binafsi naona una point nzuri hapa,ni kweli tutaumia zaidi manake ccm wanakosa confidence,Mtu yeyote aliyekosa confidence ni ngumu sana kuperfom,hasa kikwete mwenyekiti wao hajiamini kabisa na ikulu ilishasema tusimdharau rais wetu,sasa tufanyeje??wazee wetu waliumizwa sana na ccm,sisi tunaumia leo,kesho watoto wetu wataumizwa na watoto wa wana ccm kwani tumeshaona mifano ya akina wiliam malecela na rizone wakijaandaa kushika madaraka kama baba zao,nafikiri bora tuumie kwa sababu tumebakisha safari fupi kufika tunakotaka,tukiwaacha hawa na kuogopa tunaumia basi nafikiri tutaumia zaidi na zaidi kwa sababu 2015 wanaweza kuchukua tena madaraka na tukaumia zaidi,DAWA NI KUENDELEZA MAPAMBANO NA MADHARAU MAKUBWA KWAO ILI WAZIDI KUKOSA CONFIDENCE,kumbuka wana wa Israel walifika kwenye mji wenye boma Mungu akawaambia wauzunguke huku wakipiga kelele,kinachoendelea sasa hivi hapa Tanzania ni style ile ile ya wana wa israel,kelele ni muhimu sana
   
 13. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kuteka na kutesa watu na kuwatupa Mabwepande ndiyo KUPANIC?
   
 14. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Ah unataka kufundisha watu uoga?
   
 15. d

  dguyana JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe hapa ndio moto unakolea halafu unasema nini. Miaka 50 bado tu tukae kimya?
   
 16. M

  Mboja Senior Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wewe mtoa mada basi tulia wewe maana naona unafurahia kubakwa.
   
 17. B

  Bubona JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hujui unachoongea, fikiria upya!
   
 18. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mkuu unawaaibisha wana darisalama wenzako kwa hoja yaki great sinker namna iyo
   
Loading...