Kuna connection mkuu kati ya sender na receiver ndo maana mawasiliano yanawezekana. Kuna communication channel kati ya sender na server na communication channel kati ya server na receiver. In either channel meseji ina weza kuwa intercepted through technics kama sniffing etc. The good think ni kwamba meseji zinakuwa encrypted. Hivyo hata sniffers zinaweza zisiambulie meaning.
Wadau,
Napenda kujuzwa kama message za whatsapp zinakuwa traced na zawezwa kuwa printed na hawa jamaa, Najua BBM haziwezi kuwa traced na kuwaprinted. lakini hizi za whatsapp ikoje?
Ahsanten
Kuna connection mkuu kati ya sender na receiver ndo maana mawasiliano yanawezekana. Kuna communication channel kati ya sender na server na communication channel kati ya server na receiver. In either channel meseji ina weza kuwa intercepted through technics kama sniffing etc. The good think ni kwamba meseji zinakuwa encrypted. Hivyo hata sniffers zinaweza zisiambulie meaning.
Nime google na kuona kuwa mawasiliano ya whatsapp yako encrypted WhatsApp FAQ - Are my messages secure? hivyo si rahisi mtu kuyanasa.
hapa tutabishana hadi kesho.... kutumia internet kutoka kwa provider flani haimaanishi provider huyo anauwezo wa kuaccess message zako unazotuma tena through net sio via namba ya simu kawaida, unajua ni bora ubishe huku una uhakika na unajua kabisa bits flow sio kuongea kwa kuhisi au kwa kua umesikia sehemu watu wanapiga story.... unavosema wanaweza kukufungia unaongelea kukufungia nini?? nipo nje muda mrefu sana whatsapp natumia namba yangu nliyokua nayo bongo hadi leo... unajua how softwares are made kweli?? hata a slight idea??Naomba ujue kuwa whatup, viber na kadhalika zote zinatumia mkongo wa taifa kwa hiyo wanaweza kuona kila kinacho flow na ndio maana wakiamua kukufungia wanaweza.
Najua hujafanya utafiti vizuri na kama umesoma basi ni theory tu, hakuna ambacho TCRA wanashindwa wakiamua kufanya na ndio maana majasusi walioko Tanzania hawatumii minala yetu ya kawaida kupata mawasiliano.
Usiidharau Tanzania fanya ujinga utaona kuna wataalamu wengi sana sana wamesoma nje na wanapractice kila siku nchini.
Msitake kuwapa promo tcra, hamna kitu hiyo taasisi wanaweza, kwanza mniletee sheria za tcra kuhusu social media za nchi za nje inasemaje ndo tuende sawa. Ninachojua mimi hakuna nchi inayoweza kutrace whatsapp au Facebook zaidi ya USA ambako zipo na ndo maana baadhi ya nchi hizi social network zimekuwa banned kwa kuwa hizo nchi haziwezi kutrace moja kwa moja mawasiliano, sembuse tcra!!? Mwenye ushahidi kuwa tcra wanaweza kutrace Facebook au whatsapp alete hapa na sio siasa