Tanzania commercial Bank jitafakarini

ARMs14

JF-Expert Member
Jul 11, 2014
285
208
Amani ya bwana Mungu muumba iwe nanyi Wana jf.

Naomba niende moja kwa moja kwenye nada takes hapo juu.

Tanzania commercial Bank zamani bank ya posta,benk hii bado Ina mfumo wakizamani hasa kwa wafanyakazi ambao wamekuwa wakipitisha mishahara yao katika Bank hii. Ni Zaid ya wiki Sasa toka nimeomba kurudishiwa pesa yangu ambayo ilikatwa kimakosa kwenye mshahara wng.

Mwanzo niliambiwa subiria mpka pesa hio ionekane ktk rejesho lao bank na kweli likaonekana. Nikaambiwa niandike barua niliandika barua Sasa ni zaid ya wiki na hakuna pesa iliyorud kwa account. Kwenye matawi yao mikoani wanajitahid but hao makao makuu wamekuwa wasumbuf sana.

Kwanza suala la kuandika mibarua ni suala la kishamba mbona mabenk mengne hurudisha wenyewe Tena bila kuandika mibarua kwa nn unakaa na pesa ambayo sio yako? Hata ukienda kwenye ofisi zao wanakwambia hio ni makao makuu ndo wanahusika na suala Hilo. Kwa nini lakini.

Niwashauri nyie ambao mnataka kwenda kwenye bank hii jitafakarini Sana Hawa jamaa wapo slow Sana hata salary huchelewa kutoa tofauti na bank zingine mimi ninawahama rasmi,maana hawajielewi Hawa.
 
Na ukizingatia ndio pesa unayotegemea wakurudishie ili ufanye matumizi wiki hii kabla ya mshahara, inaumaga hiyo
Acha kabisa. Nilitumia pesa nikijua mpka ijumaa iliyopita wangekuwa washalipa but mpka Leo wapi. Wapo tu wanakuambia wait Leo lazima utawekewa inapita.
 
Amani ya bwana Mungu muumba iwe nanyi Wana jf.

Naomba niende moja kwa moja kwenye nada takes hapo juu.

Tanzania commercial Bank zamani bank ya posta,benk hii bado Ina mfumo wakizamani hasa kwa wafanyakazi ambao wamekuwa wakipitisha mishahara yao katika Bank hii. Ni Zaid ya wiki Sasa toka nimeomba kurudishiwa pesa yangu ambayo ilikatwa kimakosa kwenye mshahara wng.

Mwanzo niliambiwa subiria mpka pesa hio ionekane ktk rejesho lao bank na kweli likaonekana. Nikaambiwa niandike barua niliandika barua Sasa ni zaid ya wiki na hakuna pesa iliyorud kwa account. Kwenye matawi yao mikoani wanajitahid but hao makao makuu wamekuwa wasumbuf sana.

Kwanza suala la kuandika mibarua ni suala la kishamba mbona mabenk mengne hurudisha wenyewe Tena bila kuandika mibarua kwa nn unakaa na pesa ambayo sio yako? Hata ukienda kwenye ofisi zao wanakwambia hio ni makao makuu ndo wanahusika na suala Hilo. Kwa nini lakini.

Niwashauri nyie ambao mnataka kwenda kwenye bank hii jitafakarini Sana Hawa jamaa wapo slow Sana hata salary huchelewa kutoa tofauti na bank zingine mimi ninawahama rasmi,maana hawajielewi Hawa.
Pole Sana mkuu. Dah ingekuwa mm ningempiga huyo meneja
 
Na ukizingatia ndio pesa unayotegemea wakurudishie ili ufanye matumizi wiki hii kabla ya mshahara, inaumaga hiyo
Ngoja nisubirie asubuhi hii Leo Kama wataniwekea hio pesa kwenye akaunti yngu. Nitawapeni mrejesho wakinitumia.
 
Hii kitu inakera kweli, utafikiri walivyoikata walikuandikia barua kuwa tunakata, tatizo bongo mteja halindwi vya kutosha ingekuwa ni mbele huko hapo tayari unawashitaki na unadai fidia
 
Kwani hakuna uwezekano was kuwashitaki?
 
Back
Top Bottom