Tanzania chini ya Rais Magufuli itaimarika kiuchumi, kidemokrasia na Utawala Bora

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
Wadau, amani iwe kwenu.

Tanzania tumepata neema. Tanzania tumepata kiongozi. Tanzania tumepata mtetezi. Tanzania tumepata wa kutunyoosha.

Sijapata kuona nchi hii ikiwa na kiwango kikubwa cha Demokrasia kama wakati huu. Uhuru wa kujieleza umepanuka kiasi cha watu kuwa na uhuru wa kuandika chochote kupitia mitandao ya kijamii.

Kama hiyo haitoshi, Wasanii kwa sasa wana uhuru wa kuexpress hisia zao kwa uhuru na bila kubaguliwa. Mtetezi wao Mkuu ni Rais Magufuli.

Magazeti nayo kwa sasa yanaruhusiwa kuchapa habari yoyote bila kuogopa.

Vituo vya Radio vinaruhusiwa kuanzisha propaganda hata za kuitikisa Serikali. Leo hii hata nyimbo za kukashifu viongozi wa Serikali zinaruhusiwa kuimbwa.

Rais Magufuli ameleta mabadiliko makubwa ambayo hatukuwahi kuwaza kama yatatokea kwa muda mfupi

Haha yote yanatokea huku taifa likiwa katika kasi kubwa kimaendeleo. Miradi mikubwa ya maendeleo inatekelezwa.

Hongera sana Rais Magufuli. Hongera sana Serikali ya CCM.
 
Bahati mbaya kuna watu wako tayali kwa lolote kuona hili linashidwa na wamejificha kwenye kichaka cha kile kinachoitwa democrasia napata tabu sana na watu wa ufipa sijui wanataka nini kwani sasa ni ngumu kujua kama ni chama cha siasa ,NG'O au wanaharakati kwani wamekuwa watetezi wa waharifu ,wahujumu uchumi, mafisadi yani majizi yote ndio wamekuwa watetezi wao sasa sijui nia yao ni nini juu ya maendeleo na utulivu wa nchi hii

Wamekuwa wanahubiri democrasia lakini wao ndio wa kwanza kuivunja CCM mpaka sasa wameshafika watu 300 wakigombea nafasi 9 za ubunge wa East Africa wao Dj kaja na majina yake mawili mfukoni sijui hii ni democrasia ya wapi kama wenyewe hawana democrasia ndani ya chama chao je siku mkiwapa nchi watawapa hiyo democrasia ambayo wameshindwa kuwapa wanachama wao ambao wanalipia kadi ya chama
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Tanzania tumepata neema. Tanzania tumepata kiongozi. Tanzania tumepata mtetezi. Tanzania tumepata wa kutunyoosha.

Sijapata kuona nchi hii ikiwa na kiwango kikubwa cha Demokrasia kama wakati huu. Uhuru wa kujieleza umepanuka kiasi cha watu kuwa na uhuru wa kuandika chochote kupitia mitandao ya kijamii.

Kama hiyo haitoshi, Wasanii kwa sasa wana uhuru wa kuexpress hisia zao kwa uhuru na bila kubaguliwa. Mtetezi wao Mkuu ni Rais Magufuli.

Magazeti nayo kwa sasa yanaruhusiwa kuchapa habari yoyote bila kuogopa.

Vituo vya Radio vinaruhusiwa kuanzisha propaganda hata za kuitikisa Serikali. Leo hii hata nyimbo za kukashifu viongozi wa Serikali zinaruhusiwa kuimbwa.

Rais Magufuli ameleta mabadiliko makubwa ambayo hatukuwahi kuwaza kama yatatokea kwa muda mfupi

Haha yote yanatokea huku taifa likiwa katika kasi kubwa kimaendeleo. Miradi mikubwa ya maendeleo inatekelezwa.

Hongera sana Rais Magufuli. Hongera sana Serikali ya CCM.
Ni kweli kabisa mkuu tena uchumi utaongezeka kiasi ambacho kila mtu atanunua Redio na TV ili aweze kuwafuatilia Shilawadu kama anavyofanya kiongozi wetu na ilivyoelekezwa kwenye sera na ilani ya uchaguzi ya chama chetu CCM
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Tanzania tumepata neema. Tanzania tumepata kiongozi. Tanzania tumepata mtetezi. Tanzania tumepata wa kutunyoosha.

Sijapata kuona nchi hii ikiwa na kiwango kikubwa cha Demokrasia kama wakati huu. Uhuru wa kujieleza umepanuka kiasi cha watu kuwa na uhuru wa kuandika chochote kupitia mitandao ya kijamii.

Kama hiyo haitoshi, Wasanii kwa sasa wana uhuru wa kuexpress hisia zao kwa uhuru na bila kubaguliwa. Mtetezi wao Mkuu ni Rais Magufuli.

Magazeti nayo kwa sasa yanaruhusiwa kuchapa habari yoyote bila kuogopa.

Vituo vya Radio vinaruhusiwa kuanzisha propaganda hata za kuitikisa Serikali. Leo hii hata nyimbo za kukashifu viongozi wa Serikali zinaruhusiwa kuimbwa.

Rais Magufuli ameleta mabadiliko makubwa ambayo hatukuwahi kuwaza kama yatatokea kwa muda mfupi

Haha yote yanatokea huku taifa likiwa katika kasi kubwa kimaendeleo. Miradi mikubwa ya maendeleo inatekelezwa.

Hongera sana Rais Magufuli. Hongera sana Serikali ya CCM.
Waliojitoa akili...Wapooo.
 
IMG_20170327_200411.jpg
 
hizi ni story za huko Lumumba,

Alichofanyiwa Nape kimeweka wazi utawala bora chini ya Magu ni Zero,

kilichofanywa kwenye kukataza mikutano ya kisiasa, kuzuiya bunge Live kinaweka wazi demokrasia chini ya Magu ni Zero,

kilichofanywa kwenye sakata la mchanga kusafirishwa,sakata la sukari, kodi kandamizi nk kinaweka wazi uchumi chini ya Magu ni Zero.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Tanzania tumepata neema. Tanzania tumepata kiongozi. Tanzania tumepata mtetezi. Tanzania tumepata wa kutunyoosha.

Sijapata kuona nchi hii ikiwa na kiwango kikubwa cha Demokrasia kama wakati huu. Uhuru wa kujieleza umepanuka kiasi cha watu kuwa na uhuru wa kuandika chochote kupitia mitandao ya kijamii.

Kama hiyo haitoshi, Wasanii kwa sasa wana uhuru wa kuexpress hisia zao kwa uhuru na bila kubaguliwa. Mtetezi wao Mkuu ni Rais Magufuli.

Magazeti nayo kwa sasa yanaruhusiwa kuchapa habari yoyote bila kuogopa.

Vituo vya Radio vinaruhusiwa kuanzisha propaganda hata za kuitikisa Serikali. Leo hii hata nyimbo za kukashifu viongozi wa Serikali zinaruhusiwa kuimbwa.

Rais Magufuli ameleta mabadiliko makubwa ambayo hatukuwahi kuwaza kama yatatokea kwa muda mfupi

Haha yote yanatokea huku taifa likiwa katika kasi kubwa kimaendeleo. Miradi mikubwa ya maendeleo inatekelezwa.

Hongera sana Rais Magufuli. Hongera sana Serikali ya CCM.

Ngoja nitasoma baadaye andiko hili - probably next year.
 
https://www.google.com/url?sa=t&rct...kTzdyIgbHwj-0b-n7cg1HA&bvm=bv.150729734,d.ZGg

Sitaki kuweka neno.
 
Back
Top Bottom