Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,901
- 141,660
Hiyo Black Friday ipo na kwenye maduka ya akina Mangi?Tz ni bora liende tu
Ova
Piga box mkuu achana na wabongo hatuna dogo sisi.Jana tarehe 23, Novemba 2023 ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving nchini Marekani.
Kama hujui sikukuu hiyo ina maana gani huko Marekani, zama Google au YouTube [zote hizo ni kampuni za Kimarekani 😉 🇺🇸] ufute ujinga.
Thanksgiving huwa ni siku ya Alhamisi ya mwisho ya mwezi Novemba kila mwaka.
Siku ifuatayo, yaani Ijumaa, huwa inajulikana kama Black Friday.
Black Friday ni siku ambayo madukani kunakuwepo na mapunguzo makubwa ya bei za vitu/ bidhaa.
Zamani kabla ya masoko ya mtandaoni hayajaenea na kuzoeleka, watu walikuwa wanaenda kupiga kambi kabisa nje ya maduka kama Best Buy ili kuwahi kuwa wa kwanza kuingia madukani humo pindi milango inapofunguliwa.
Ilikuwa ni vurugu sana. Watu walikuwa wanapigana. Wengine walikuwa wanakanyagana hadi kuuana kabisa.
Siku hizi hakuna sana hizo vurugu maana manunuzi watu wanafanyia kwenye mitandao.
Sasa cha kushangaza, eti hata Tanzania leo ni Black Friday!
View attachment 2823288
Ina maana Tanzania nako wanasherehekea Thanksgiving siku hizi?
Wameanza lini kusherehekea sikukuu za Marekani? Na July 4th nayo wanaisherehekea?
Kubalini, kataeni, chukieni, oneni wivu, jibamizeni ukutani, mwisho wa siku Marekani ndo taifa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya uhai!
Kama mnaiga hata black Friday, basi Marekani imewakamata panapo vizuri sana.
🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Sasa si muanziashe ya kwenu!Tunajifunza kwa aliefanikiwa mkuu..
🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸Ni suala la muda tu dunia nzima itakua kama USA, kasoro communists
Ni suala la muda tu dunia nzima itakua kama USA, kasoro communists
Hatuanzishi..wao ndio waanzishe nyingine tuigeSasa muanziashe ya kwenu!
Kwa nini lazima iwe baada ya Thanksgiving?
Mangi akuwekeee punguzo? Labda kimeisha muda wa matumiziHiyo Black Friday ipo na kwenye maduka ya akina Mangi?
utamaduni, sera za siasa na uchumi....
Ilianza kulana denda, valentine day,kupiga goti kuvishana Pete za uchumba na Sasa black Friday,na viongozi wa kuiga ni hao wasomi,hicho ndiyo kinachozalishwa shuleni,joto Kali wanavaa suti...hivyo kabisaKwamba hilo jina USA wana hati miliki nalo mtu akilitumia afanye kama wao
Bora hata uulize wewe Mr likes!Kwamba hilo jina USA wana hati miliki nalo mtu akilitumia afanye kama wao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo Black Friday ipo na kwenye maduka ya akina Mangi?
Huyo na kiranga wanaupenda na kuutukuza uzung sanaEeeeeh mwenyewe unavyoilezea vizuri hiyo Marekani utasema Mmarekani!hiii Dunia ngumu hii
Kwani Ilani inasemaje??Hiyo Black Friday ipo na kwenye maduka ya akina Mangi?